Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Baraka Kizuguto yupo live STAR TV
Pamoja na kwamba siujui huu mchakato ulivyokwenda lakini kwa maelezo ya Baraka Kizuguto naona hajaweka suala hili vizuri na kuna kitu kipya ameongeza hapa kwamba
Kwamba Kanuni za Ligi zinaweza kupitishwa na mdau yoyote mradi awe wa mpira au chombo maalum?
Nachokoza tena mada

- Iliyopitisha Kanuni Hii ni Kamati ya Utendaji sababu ina mandate na kumbe si Bodi ya Ligi
- Kwamba wadau walioridhia wapo wengi na akasema dhana ya wadau wa mpira ni pana sana