KERO Siridhishwi na Watumishi wa Umma tunavyokatwa kodi ya Nyumba ya Serikali kupitia TANESCO

KERO Siridhishwi na Watumishi wa Umma tunavyokatwa kodi ya Nyumba ya Serikali kupitia TANESCO

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kutokea Kibondo, naomba ufafanuzi kwenye shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)

Je! Ni kwanini sisi Watumishi wa Serikali tunaoishi nyumba za Serikali, vijijini tumeunganishiwa kwenye system ya Kulipa kodi ya nyumba ilihali kuna makato kwenye mishahara yetu na bado hayo makato ya REA, VAT na EWURA tunahusika?

Ushauri: Mfumo wa makato kwa mtumishi kwenye mshahara, wakate huko huko kwa kugawa hizo % na sio kuninyonya tena upande wa Umeme.
 
Kodi hiyo Tanesco hahusiki yeye ametumika kama tool tu kwenye Collection, Kodi hio Mhusika Mkuu ni TRA na Halimashauri yako husika, nenda uko Kwa Clarification zaidi
 
Back
Top Bottom