Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe kama Kasuku,kwani kwenye nchi zenye mifumo imara kama Marekani makandokando hayatokei?Unaelewa jinsi Trump aliitikisa marekani hadi wafuasi wake wakaenda kufanya fujo bungeni na mabunduki licha ya mfumo wao wa kidemokrasia kuwa imara?Mbona Prof Assad hakubadilishwa na mfumo?
Ni matarajio yangu huko Tanzania,atakuwa IGP WA kwanza mwanamke. Na mpenda Haki,amani na mpenda demokrasia. Mama D ninaomba weka NENO hapoWakuu huyu mama mm namkubari pamoja na mifumo inaweza muathiri lakin ni kiongozi hodari ..atapambana kikamilifu pia anaweza Fanya refoms nzuri ndani ya jeshi la police.. zaidi ya huyu sioni mwingine,,,wewe jee?
View attachment 1916357
Mbona kama sijakuelewa hivi kwani tatizo langu lipi?Usiwe kama Kasuku,kwani kwenye nchi zenye mifumo imara kama Marekani makandokando hayatokei?Unaelewa jinsi Trump aliitikisa marekani hadi wafuasi wake wakaenda kufanya fujo bungeni na mabunduki licha ya mfumo wao wa kidemokrasia kuwa imara?
Kwa hiyo kwa akili zako unafikiri kuwa mifumo iko perfect?Yaani unategemea mfumo wa hovyo basi uwe perfect hovyo moja kwa moja na mfumo imara basi uimara wake uwe perfect moja kwa moja?
Kwa kifupi ni kwamba hakuna mfumo wowote ule either imara au wa hovyo ambao unaweza kuattain perfection level.
Yaani mambo madogo kama haya yanakusumbua kuelewa?
Anaitwa saphia sio sophiaHana lolote, bora hata yule mzaramo mama wa Tabora ACP Sophia.
Tatizo lako ni kutaka mifumo iwe perfect.Mifumo haiwezi kuwa perfect.Mbona kama sijakuelewa hivi kwani tatizo langu lipi?
Wasliana na wanyamwezi wakujuze madudu ya susana wakati akiwa rpc wao na nini kilisababisha kuhamishwa.Wakuu huyu mama mm namkubari pamoja na mifumo inaweza muathiri lakin ni kiongozi hodari ..atapambana kikamilifu pia anaweza Fanya refoms nzuri ndani ya jeshi la police.. zaidi ya huyu sioni mwingine,,,wewe jee?
View attachment 1916357
Hapana mi nimekutajia tu Assad kumaanisha kwamba pamoja na kuwa na mifumo mibovu ila alikuwa na misimamo.Tatizo lako ni kutaka mifumo iwe perfect.Mifumo haiwezi kuwa perfect.
Kama mfumo ni mbovu kutakuwepo na watu wachache wazuri na vilevile kama mfumo ni mzuri(wa demokrasia) kutakuwepo na watu wachache wa hovyo pia.
Na mimi nikakujibu kuwa hiyo ni kawaida kabisa kwa sababu ndani ya mifumo mibovu wapo watu wema pia na ndani ya mifumo mizuri wapo watu wabaya pia.Hapana mi nimekutajia tu Assad kumaanisha kwamba pamoja na kuwa na mifumo mibovu ila alikuwa na misimamo.
Kwahiyo tusiseme tu kwamba tatizo sio hao watu bali tatizo ni mifumo.Na mimi nikakujibu kuwa hiyo ni kawaida kabisa kwa sababu ndani ya mifumo mibovu wapo watu wema pia na ndani ya mifumo mizuri wapo watu wabaya pia.
Bado sana huyu, ataweza kuwapita magwiji kama Hamdani na Wambura?Wakuu huyu mama mm namkubari pamoja na mifumo inaweza muathiri lakin ni kiongozi hodari ..atapambana kikamilifu pia anaweza Fanya refoms nzuri ndani ya jeshi la police.. zaidi ya huyu sioni mwingine,,,wewe jee?
View attachment 1916357
Yes,na ndicho nilichokisema tokea mwanzo.Mfumo wa CCM wa kuendesha serikali ni ule wa kuiweka mihimili yote mfukoni.Hakuna mhimili ambao upo huru.Hadi dini hazipo huru.Kwahiyo tusiseme tu kwamba tatizo sio hao watu bali tatizo ni mifumo.