Sirro aombe msaada wa Interpol kumrudisha Lissu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Katika kile kinachoelezewa kama kuichafua serikali, mpaka Lissu kuitwa kichaa anaetakiwa kuwa Mirembe, kichaa ambacho Wabelgiji wanaomtibu na kumuona kila siku wameshindwa kukigundua lakini wataalamu wa CCM wamekigundua kwa kumuona Lissu kwenye luninga.

Ombeni ni msaada wa Interpol mtuhumiwa arejeshwe haraka.😂
 
Lisu ndio nani? ana umuhimu gani?
ukishindwa kuishi na mme uliye nae utaweza kuishi na usienae,
pigeni kazi acheni umbea wakubwa wazima ovyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…