Kamanda Sirro kumbuka madaraka/cheo ni dhamana,unachokifanya na kukiongea sasa kitakutesa wewe na kizazi chako.
Ni suala la muda tu,huyo magufuri munayemtetea kwenye uongo si mungu.
Tundu lissu mumemuonea,munamnyima haki na kumdhihaki ila muda ndio utampa haki na kuwahukumu ninyi nyote.