Angalikufa jee mungalipewa ushirikiano na nani
tumezoea kuwatakia watu mafanikio from zero to hero. huyu alishapigwa. Mungu alimwambia mfalme daudi kuwa hatamjengea kanisa maana mikono yake imejaa damu. sirro alitamani sana kuwa padri Mungu kakataa. tangu siku hiyo ikawa laana from sirro to zero. kila sehemu sasa anajenga ufalme wa shetani kwa kusambaza mabaa ya pombe! hivyo hata kuongea kwake ni ushetani mtupu.Sirro sina namna yoyote ya kukufanya maana una mamlaka. Ninachoweza kufanya in kupiga magoti na kukuombea laana ili upatwe na magonjwa sugu yakutese mpk utambue kuwa kuna Mungu.
Vipi endapo Tundu Lisu angekufa? Nani angetoa ushirikiano? Nasubiri siku rais aliyekuteua ashambuliwe mchana kweupe kisha akimbizwe nje ya nchi kama Lisu, halafu usifanye uchunguzi kwakuwa. Rais hayupo nchini
Msimlaumu sana kamanda anafuata maagizo!!Usikute kamanda Sirro anaugua ugonjwa wa akili
Hivi unadhani ninaogopa hivyo vijimaneno vyako? Subiri mtoke madarakani ndiyo mtajua hii nchi siyo ya Wasukuma.Mkuu asante unaweza kuja kutoa taarifa hizi vizuri maana hii ni jinai wewe utakuwa shahidi tu. Umetusaidia Sana na hata Kama hujajitokeza nakuahidi tutakupata
Jibu sahihi ni 'tunamsubiri JPM atoke madarakani ndipo kesi ifufuliwe, jinai haifi'.
Yawezekana hapa ndipo kwa kuanzia,mpatie IGP hiyo taarifa anonymously ili tumfahamu muhusika kabla Mhe.Lissu hajarudi nchini kwake.Mbona walengaji/wadunguaji wanatajwa na hawahojiwi wala hatupewi habari zao kama si wahusika?Ama hawa waliotajwa hawapo Duniani?Ni vizuri kuchukulia tetesi kama hizi maana zaweza kusaidia.Acheni kujitoa akili mnmjua kabisa aliyemshambulia Tundu Lissu na kwenye kikao cha kupanga mashambulizi na wewe Simon Sirro ulihudhuria. Aliyepiga risasi ni Bwire na Herry Kisanduku ambao walfanya hivyo kwa maelekezo ya Paulo Makonda.
Kilichobaki kwa Simon Sirro ili uepuke kupata dhahma kama ya IGP mwezio wa Uganda Kale Kayihura ambaye yuko under arrest kwa amri ya ICC ni wewe kuanza kuwaua mashahidi muhimu kabla hujatoka ofsini kama IGP. Hao waliopiga bunduki watakutaja tu na hautakwepa tutakapo kupeleka ICC.
Wanawajua wauaji kwa vile ni wao wenyewe waliowatuma ndiyo maana hawawezi kuwapeleka Mahakamani. Hawa watasombwa tu baada ya Jiwe kutoka madarakani.Yawezekana hapa ndipo kwa kuanzia,mpatie IGP hiyo taarifa anonymously ili tumfahamu muhusika kabla Mhe.Lissu hajarudi nchini kwake.Mbona walengaji/wadunguaji wanatajwa na hawahojiwi wala hatupewi habari zao kama si wahusika?Ama hawa waliotajwa hawapo Duniani?Ni vizuri kuchukulia tetesi kama hizi maana zaweza kusaidia.
Watu wajinga usiwaulize maswali yenye akili...Angalikufa jee mungalipewa ushirikiano na nani
why humuulizi IGP,nini matokeo ya foresinc inverstigations iliyofanywa na polisi ikiwa ni pamoja na kuzitafuta silaha zilizotumika ili ballistic test ifanyike?leo imetokea kwenye familia ya Lisu,kesho u never know labda kwako mkuu na uje na mchango kama huu hapa,wakati mpendwa wako amepigwa 10bullets!!Yawezekana hapa ndipo kwa kuanzia,mpatie IGP hiyo taarifa anonymously ili tumfahamu muhusika kabla Mhe.Lissu hajarudi nchini kwake.Mbona walengaji/wadunguaji wanatajwa na hawahojiwi wala hatupewi habari zao kama si wahusika?Ama hawa waliotajwa hawapo Duniani?Ni vizuri kuchukulia tetesi kama hizi maana zaweza kusaidia.
Tuwaombee uzima, siku wakitoka madarakani tutaanza kuwakata pumbu kama alivyofanyiwa Samuel Doe wa Liberia.Yani Mumpoteze wenyewe kisha mfungue jalada la uchunguzi wenyewe....!
Only fools can believe this
Angekuwa ameuawa na risasi nani angewapa ushirikiano?Hivi kamanda Lisu haya mambo mbona rahisi tu njoo ufungue jalada mlete na dereva wako mueleze mkasa mzima mkiwa na watu wenu wa kushuhudia hayo maelezo, baada ya hapo mbivu na mbichi zote zitajulikana. . nakufugua ukurasa mpya wa nini matokeo yake..huenda mtawashika pabaya wanaowachafua kwa visingizio vya ushahidi.