Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawe yakupangwa na wahuni wa ccm hayaumizi. Lkn kukataliwa na wananchi kama ilivyokuwa kwa Magufuli kule Bunda, Busega na Kagera hakika imemkatisha sana tamaa Magufuli. Atakuwa na gundu la kunguni ama fungo huyu mzee.
Anashindwaje umaarufu na mgonjwa aliyekuwa hospitali, hajanunua hata msumari wa kujengea zahanati?
Kajenga Sana vitu lkn bado wananchi hawampendi.
Nzi kufia kwenye kidonda haishangazi Sana. Lkn Magufuli aliyejimwambafai miaka 5 kwamba ni wa wanyonge hatakiwi hata kwao!!!?sasa jamaa kaenda chato kaishia kusalimia na kuondoka, anatia huruma sana
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaonya baadhi ya wanasiasa nchini kuacha kuwatumia vibaya wananchi hususan vijana hasa katika kipindi hiki cha kampeni za kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2020 na kuwaingiza kwenye vitendo vya uvunjifu wa amani.
IGP Sirro amesema hayo akiwa Musoma mkoani Mara kwenye kikao kilichowahusisha viongozi wa kisiasa wakiwemo wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu waliopo mkoani humo ambapo aliwataka wagombea hao kutumia majukwaa ya kampeni kuhubiri amani.
Kwa upande wake mgombea ubunge jimbo la Bunda kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Ester Bulaya, amesema katika kipindi hiki cha wiki mbili kilichobaki kuelekea uchaguzi mkuu lazima vyama vishikamane na kuwa makini sambamba na kulipongeza Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri.
Tatizo wanajua wanasiasa ni waupinzani tu, ukiwa ccm hawakuchukulii kama mwanasiasa. Wale vijana waliomletea Lisu fuja atasema walichokozwa na vijana wanaotumiwa na wsnasiasa (upinzani)Kila siku anaimba mapambio hayo hayo wakati kutimiza wajibu wao kama pilisi hawataki, msafara wa Lissu umeshambuliwa huko Chato halafu bado anaongea pumba tu bila aibu yoyote, Sirro amejisahau sana ameshakuwa mwanasiasa.
Lissu amefunga barabara huko hataki kusikia tena huu ujinga wako.
Nzi kufia kwenye kidonda haishangazi Sana. Lkn Magufuli aliyejimwambafai miaka 5 kwamba ni wa wanyonge hatakiwi hata kwao!!!?
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaonya baadhi ya wanasiasa nchini kuacha kuwatumia vibaya wananchi hususan vijana hasa katika kipindi hiki cha kampeni za kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2020 na kuwaingiza kwenye vitendo vya uvunjifu wa amani.
IGP Sirro amesema hayo akiwa Musoma mkoani Mara kwenye kikao kilichowahusisha viongozi wa kisiasa wakiwemo wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu waliopo mkoani humo ambapo aliwataka wagombea hao kutumia majukwaa ya kampeni kuhubiri amani.
Kwa upande wake mgombea ubunge jimbo la Bunda kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Ester Bulaya, amesema katika kipindi hiki cha wiki mbili kilichobaki kuelekea uchaguzi mkuu lazima vyama vishikamane na kuwa makini sambamba na kulipongeza Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri.
Tayari ICC wameandaa jarada lake kutokana na Polisiccm kuzidisha unyanyasaji uonevu uovu kwa chadema ikiwemo tukio la serengeti Polisiccm wa kiume kumpiga mwanamke mpaka kupelekea kulazwaSitaki vurugu, na sitaki kupoteza kazi
Sioni ccm ikishinda, na nimeambiwa nihakikishe inashinda
Ikishinda cdm tabakia kuwa polisi, ila tavuliwa hiki cheo, nami sitaki
Nikihakikisha ccm inashinda, wanaweza kufa watu wengi, nami nikabaki na hiki cheo, lakin sitaki watu wafe kwa amri yangu.
Sirro anaishiwa pumzi, mke wake anamuinua taratibu na kumkalisha kitandani, kisha anamletea maji ya barid...
Hao vijana wametumwa na Polisiccm kurusha mawe ndiyo maana hawakukamatwa licha ya kufahamika vizuriAnamaanisha hawa vijana wa Chato waliprusha mawe msafara wa Lisu!?
ICC wanampeleka jela mara baada ya uchaguzi anaenda kustaafu akiwa jelaSiro arudi kuwa RPC dar, ndio kunamtosha
Huruma ipi? Kasema anataka haki neno haki linatosha kwani bila haki hakuna maendeleo hakuna chochote zaidi ya kutaabika kama watu wanavyotaabika kwa udikiteta wa mtukufu magufulisasa jamaa kaenda chato kaishia kusalimia na kuondoka, anatia huruma sana
We jamaa angu sikufahamu, lakini uwa naona image yako kama vile unachomekeaga koti la suti ya kitenge.If not us Who?
And if not now when?
28/10/2020 Lissu is my president.[emoji111]