Uchaguzi 2020 Sirro: Msitumie shida za vijana kama sababu ya kuwatumia kuanzisha fujo

Anamaanisha hawa vijana wa Chato waliprusha mawe msafara wa Lisu!?
 

sasa jamaa kaenda chato kaishia kusalimia na kuondoka, anatia huruma sana
 
sasa jamaa kaenda chato kaishia kusalimia na kuondoka, anatia huruma sana
Nzi kufia kwenye kidonda haishangazi Sana. Lkn Magufuli aliyejimwambafai miaka 5 kwamba ni wa wanyonge hatakiwi hata kwao!!!?
 
Sirro ni MPUUZI! Waliovamia kwenye kambi ya Lema, Msigwa na Heche si vijana bali ni polisiccm mbona hatii neno kuhusu aliyewatuma? Nani aliyewatuma polisiccm kumpiga mgombea wa Chadema Catherine Ruge na watu wa Chadema hadi kusababisha Catherine kujeruhiwa na kulazwa hospitali!? 😳
 
Tatizo wanajua wanasiasa ni waupinzani tu, ukiwa ccm hawakuchukulii kama mwanasiasa. Wale vijana waliomletea Lisu fuja atasema walichokozwa na vijana wanaotumiwa na wsnasiasa (upinzani)
 
Sitaki vurugu, na sitaki kupoteza kazi
Sioni ccm ikishinda, na nimeambiwa nihakikishe inashinda
Ikishinda cdm tabakia kuwa polisi, ila tavuliwa hiki cheo, nami sitaki
Nikihakikisha ccm inashinda, wanaweza kufa watu wengi, nami nikabaki na hiki cheo, lakin sitaki watu wafe kwa amri yangu.

Sirro anaishiwa pumzi, mke wake anamuinua taratibu na kumkalisha kitandani, kisha anamletea maji ya barid...
 
Nzi kufia kwenye kidonda haishangazi Sana. Lkn Magufuli aliyejimwambafai miaka 5 kwamba ni wa wanyonge hatakiwi hata kwao!!!?

watu wa kupinga wapo si ndo kama nyinyi sasa shida iko wap apo, huyu dada yenu mkubwa kashindwa kuongea akiwa chato maaana aliwasme asana, sasa watu wameanza kuonyesha nan mwenyewe nguvu, wewe ongea wao warusha mawe, madhara yako wafuasi wa dada lissu wanavuja damu tu
 
Huyu mzee tayari ana jarada ICC atasitaafu akiwa jela za ICC The Hague wanasubiria uchaguzi upite waje kumchukua
 
Tayari ICC wameandaa jarada lake kutokana na Polisiccm kuzidisha unyanyasaji uonevu uovu kwa chadema ikiwemo tukio la serengeti Polisiccm wa kiume kumpiga mwanamke mpaka kupelekea kulazwa
 
Anamaanisha hawa vijana wa Chato waliprusha mawe msafara wa Lisu!?
Hao vijana wametumwa na Polisiccm kurusha mawe ndiyo maana hawakukamatwa licha ya kufahamika vizuri
 
sasa jamaa kaenda chato kaishia kusalimia na kuondoka, anatia huruma sana
Huruma ipi? Kasema anataka haki neno haki linatosha kwani bila haki hakuna maendeleo hakuna chochote zaidi ya kutaabika kama watu wanavyotaabika kwa udikiteta wa mtukufu magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…