Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
kama hujaelewa naomba ni ku pmShem nini hiki?
kama hujaelewa naomba ni ku pm
shem pm tu hadi uombe!! Kuwa huru.
offcourse hadi niombe si unajua mambo ya shemeji shemeji huku wazima taa
usirudi okoka kabisaaa,hio hela ya pombe ungesave kwa ajili ya kuwaandalia wanao maisha mazuri...lol
unataka uje uzime taa huku? Ngoja niombe ulinzi. Lol
sitaki kuzima taa..umeme ukikatika utapiga makelele kwani?
itategemea tutakuwa tunafanyana nini. Lol.
kwani kwenye gixza watu wanafanyaga nini vile? si wanaongea tu
wanaongea na kucheka.
+kuguna. au nimekosea?
hata sijui
basi ndio hivyo kama hujui.huu umeme mbona haukatiki sasa.au hadi Tanesco waigiwe simu/?
unapenda gizani?
hapana sipendi gizani. shemeji shemeji ni gizani ..naona unalazimisha kujisahaulisha
mmmh! Vipi kuna foleni eeh? Naona pm haifiki shemeji.