Sirudi tena kona bar.

Sirudi tena kona bar.

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
Mshkaji alinialika Kona bar...kaktikati ya stori na laga mar akatokea binti mmoja mzuri na heshima zake akatufuata akaomba kujumuika nasi na bila hiyama akasema kuwa yuko mzigoni nyuma buku mbele nyongeza.
sikuweza kuvumilia ilibidi nimpe buku nikamwambia aondoke zake hakuna mtu mwenye shida naye akachukua na kutuachia bonye la sonyooo na kuondoka zake.
ushauri:somesheni watoto wenu na kama mtu huna uwezo epuka kuzaa zaa ovyo
 
usirudi okoka kabisaaa,hio hela ya pombe ungesave kwa ajili ya kuwaandalia wanao maisha mazuri...lol
 
usirudi okoka kabisaaa,hio hela ya pombe ungesave kwa ajili ya kuwaandalia wanao maisha mazuri...lol

asante Neema kwa ushauri hata hivyo mimi sio mnywaji kiviile
 
Back
Top Bottom