Sirudi tena kona bar.

Duuuh jembe we mtata wewe:: haya bwana tuangalie tusije kuota mkia bureee.... Mambo mengine vipi lakiini

Poa tu mkuu. ndio naelekea kona bar kung'oa vipi leo hauendi?!
MAPROSOO.
 
Why are you asking????

ili kusaidia watu walio ni pm..nimepata pm zaidi ya mia moja hadi najuta kuileta hii thred hapa watu wanaulizia ilipo hii kona bar
 
ili kusaidia watu walio ni pm..nimepata pm zaidi ya mia moja hadi najuta kuileta hii thred hapa watu wanaulizia ilipo hii kona bar
Hahahahaha, kweli umewaonea wana JF...
Kazi yako, watakufungulia thread. Siku hizi ndio mtindo.
Watu wakikereka tu, wanaazisha thread!
Uliongea na Afrodenzi?
 
Hahahahaha, kweli umewaonea wana JF...
Kazi yako, watakufungulia thread. Siku hizi ndio mtindo.
Watu wakikereka tu, wanaazisha thread!
Uliongea na Afrodenzi?
alikuwa bussy klorokwin alimuiba nikashidwa kuongea naye..kloro ni mtu wa ajabu sana
 
alikuwa bussy klorokwin alimuiba nikashidwa kuongea naye..kloro ni mtu wa ajabu sana
he is! mpinzani wake labda babu yangu tu...
Hata hivo hakuna haraka,
Anti na Uncle wameenda weekend serengeti.
 
Mzee ulilipa buku ukimaanisha kwamba unataka back ndio maana akakusonya.
 
Inafaa uchane na matendo machafu yamchukizayo muumba kijana. Mda wa kwenda kona bar na sehem za starehe u2mie vizuri kusoma vitabu vitakatifu na kusali.
Wenu ktk utumishi, Rev Fr KABOKA mchizi
 
usirudi okoka kabisaaa,hio hela ya pombe ungesave kwa ajili ya kuwaandalia wanao maisha mazuri...lol

hivi ulimalizaga kujenga ile nyumba yako na zile milioni 10 zako?
 

Kona bar ni mahala pa hawa mademu wafanya biashara sasa la ajabu nn??
 

haaah haaah Saint kiwanja changu hicho. Huwa napita pale kupata biere mkuu.
 
hivi kunani hapa??
Pamoja na vumbi lakini panapendwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…