Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajielewi mbumbumbuUmesema hakuna kiungo mkabaji
Si juzi hapa mlokua mnamsifia ngoma mnasema ni midfielder teacher?
Kanoute mnamwita Putin si ndio nyie.
Pole sana. Ukuta wa Yericko uliwaangushaHamasa kibao ila mpira wa hovyo, mimi kama shabiki wa Simba sirudi tena uwanjani kuangalia mechi ni aibu kubwa mno.
Tulishasema sana kocha hafai, tangu msimu uliopita hamna kiungo mkabaji mnafanya sajili za hovyo, mdomo mwingi ila uwanjani hovyo kabisa. Heri tumepigwa na Yanga ili viongozi waamke usingizini, tungefungwa hivo na timu nyingine isingekuwa alert.
Timu kubwa ila mfumo wanaocheza haueleweki, hamna rotation ya wachezaji wengine wamezeeka benchi.
Hizo goli 5 wagawane
1. Try Again
2. Magungu
3. Kajuna
4. Ahmed Ally
5. Mo
Hamasa kibao ila mpira wa hovyo, mimi kama shabiki wa Simba sirudi tena uwanjani kuangalia mechi ni aibu kubwa mno.