Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Um[emoji44]etishikaLeo mada za kutisha tu [emoji29][emoji29][emoji29]
Ule uzi wa kula tunda kimasihara umesababisha yoote hayaaaaLeo mada za kutisha tu [emoji29][emoji29][emoji29]
Nimada mahsusi
Ugonjwa huu umekaa pahala pabaya sana , maana kila mtu anapapenda....in Ally Hassan Mwinyi's voice
Nafikiri mods wamezipandisha makusudi kuelekea kilele cha siku ya Ukimwi
Ngoja zije hadithi za mazombie
Ule uzi wa kula tunda kimasihara umesababisha yoote hayaaaa
Um[emoji44]etishika
Hapana aisee, tunakumbushwa tu!πππ.Leo mada za kutisha tu [emoji29][emoji29][emoji29]
Wewe umeuona mzigo wa sanchi?
Nimeona na nimependezewa na ule mnato
Wewe umeuona mzigo wa sanchi?