Sirudii tena kupima wanawake Ukimwi tukiwa faragha, kilichonikuta jana sitakaa nisahau, tutapima hospitali

Sirudii tena kupima wanawake Ukimwi tukiwa faragha, kilichonikuta jana sitakaa nisahau, tutapima hospitali

IMG_20190728_203718_117.jpeg
 
Wiki ya nenda kwa usalama na HIV, ni upepo tu utapita ila HIV itabaki,😀
 
Nimada mahsusi

Ugonjwa huu umekaa pahala pabaya sana , maana kila mtu anapapenda....in Ally Hassan Mwinyi's voice

Yaan nyuzi zote utafikiri leo ni siku ya Ukimwi ya duniani
 
Kwahiyo haya yote mzinduzi ni yule anayetembea na Prof. wa chuo?
 
Na mwezi wa baby nikwambie kitu ndy huo unaingia
 
In reality

Huyo mwanamke anayekubali kupimwa na mwanaume kabla ya kudoo nae kiazi

Mwenye akili zake kama mnataka mahusiano mtapanga mwende kwenye vituo husika mpime wote

Otherwise hajitambui
 
In reality

Huyo mwanamke anayekubali kupimwa na mwanaume kabla ya kudoo nae kiazi

Mwenye akili zake kama mnataka mahusiano mtapanga mwende kwenye vituo husika mpime wote

Otherwise hajitambui
 
Back
Top Bottom