Sirudii tena kupima wanawake Ukimwi tukiwa faragha, kilichonikuta jana sitakaa nisahau, tutapima hospitali

Sirudii tena kupima wanawake Ukimwi tukiwa faragha, kilichonikuta jana sitakaa nisahau, tutapima hospitali

Mnatutisha wenzenu wenye ratiba ya kudinyana weekend nzima....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakuu,

Tusizoee kupimana ndani bila elimu ya counseling. Jana kidogo mtu anifie, mimi kuanzia leo tutaenda kupimana hospitali habari za ndani hapana aiseee.

Usiombe yakukute
 
Back
Top Bottom