Sirudii tena ndio mwanzo na mwisho!

alafu Leo ngoja nikaipige ya kuchoma aiseeh huyu mnyama sijui ana nini aiseeh mtamu sana
 
Hivi ni wangapi wamenielewa!!![emoji86] [emoji86]
 
mimi siachi labda TFDA waseme kama ina madhara ndo ntaacha....halafu acheni wivu nyama tamu ile
 
Jana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia leo!!sitakaa nisome tena magazeti!!!...[emoji86] [emoji86]


Yaani unataka kutuambia kuwa hupendi ukweli?
 
Ukweli kivp mkuu rudia kusoma utaelewa
 
aisee niko hapa nakula kitimoto, siwezi kuacha kula hii nyama walikula mababu na mababu kilimanjaro leo niache. kamwe haitatokea
 
Minyoo iko kwenye maembe, umesikia wapi kitimoto ana minyoo wewe...au huna hela unazuga?

Mkuu nyama hiyo ina minyoo hatarishi kama haija kaangwa kwa mafuta kwa muda mrefu, minyoo ina uwezo wa kuingia kwenye ubongo na kusababisha kifafa na magonjwa mengine hatari, walaji wanapashwa kuwa makini jinzi nyama hiyo inavyo pikwa/kaangwa/chomwa kabla ya kuliwa - hatupo hapa kutisha watu cha muhimu kuweni makini - kumbuka si nguruwe wote wana checkiwa na wataalamu wa Veterenary kila wakati huko wanako fugwa, wafugaji wanataka ku maximise faida ni wachache sana wanao jali sana masuala ya afya ya binadamu.
 
makabila kifugaji hapa Tanzania, waMasai, waBarbaig na wengine wenye asili ya nyama(kufuga), hawali nyama hii tena wengine wamefikia hatua kwamba mnyama huyo akipita kwenye zizi ama nyumba zao wanahama eneohilo.sasa tujiulize ikiwa wenye asili ya ulaji nyama hawaili hiki kito joto kuna siri gani ndani yake?
 
Kwa mujibu wa sheria haifai kula kabisa na siri yake kubwa inatia maradhi tena mengi tu mfano
Ugonjwa ngozi
Hata kichaa
Na kuota nyama mlangoni mwa choo kikubwa
 
hahahhaaha daaa mkuu umetisha.kweli huo uamuzi mgumu hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…