Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si umeamua kufa kwa minyoo hamna shida go onHivi ni wangapi wamenielewa!!![emoji86] [emoji86]
Sub hanna allah! Kakwambia nani ye ni mwanaume?Umebugi.Ulaji wa huyo mdudu unaongeza nguvu za kiume.
Minyoo iko kwenye maembe, umesikia wapi kitimoto ana minyoo wewe...au huna hela unazuga?si umeamua kufa kwa minyoo hamna shida go on
Jana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia leo!!sitakaa nisome tena magazeti!!!...[emoji86] [emoji86]
Umekosea ni nguvu za kike nguvu za kiume ni supu ya pwezaUmebugi.Ulaji wa huyo mdudu unaongeza nguvu za kiume.
Minyoo iko kwenye maembe, umesikia wapi kitimoto ana minyoo wewe...au huna hela unazuga?
Nyama ni nyama kitimoto/nguruwe jinaumemuelewa?
haahhaaahhaahaa ila nimekustukia!! we jamaa nadhani hata chairfire huli unatuchallenge tuMinyoo iko kwenye maembe, umesikia wapi kitimoto ana minyoo wewe...au huna hela unazuga?
chair firehaahhaaahhaahaa ila nimekustukia!! we jamaa nadhani hata chairfire huli unatuchallenge tu
Nakula. Tamu sanahaahhaaahhaahaa ila nimekustukia!! we jamaa nadhani hata chairfire huli unatuchallenge tu
watatu tuHivi ni wangapi wamenielewa!!![emoji86] [emoji86]