Sirudii tena ndio mwanzo na mwisho!

Hahaha ndivyo ilivyo.
Sina shaka wewe ni Mkristo,na sina sina shaka ushapata kusikia kisa cha yesu kumtoa mtu mapepo/jini mtu mmoja aliyekuwa nasumbuliwa nayo,je unakumbuka alipoyatoa aliyaamuru yaende kwenye nini? Na kilitokea nini baada ya hapo?
Na je ulipata funzo gani juu ya lile tendo?
Nadhani utakua umeshapata mantiki ya swali langu.
 
Mimi ni Masai na Noah nasukuma kama kawa

Nenda pale Coco beach kuna jamaa anaitwa Jackson anatengeneza wa kuchoma hutojutia
 
Mdudu hafananishwi ase ...wameanza kumpiga vita toka enzi za musa wameshindwa
 
Nafahamu nilikua nachangamsha genge tu ,japo pia utamaduni wetu umetetereka sana kuna sehemu siku hizi Masai wanakula mdudu

Ukichangamcha genge kwa namna hiyo unahamasisha ulaji wa mdudu, watu hawajui kwamba hata wanaotegemea mifugo kama chakula kikuu hawali mdudu.
 
Ukichangamcha genge kwa namna hiyo unahamasisha ulaji wa mdudu, watu hawajui kwamba hata wanaotegemea mifugo kama chakula kikuu hawali mdudu.
Na pia unaposema Masai hawali sio wote ,huwa tunalinganisha mambo kwa percentage ,hivyo wote tupo sawa kwa mantiki hiyo
 
hivi kufa kwa minyoo au kupigwa na Polisi ktk operation ukuta kipi bora? Leo hii unaongea kwa dhihaka subiri yakukute utaongea kwa machozi na majonzi
Time will tell
kufa ni kufa tu haijalishi utakufa kwa stail gani
 
Hutakaa usome tena magazeti au hutokula tena nyama ya kitimoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…