Sina shaka wewe ni Mkristo,na sina sina shaka ushapata kusikia kisa cha yesu kumtoa mtu mapepo/jini mtu mmoja aliyekuwa nasumbuliwa nayo,je unakumbuka alipoyatoa aliyaamuru yaende kwenye nini? Na kilitokea nini baada ya hapo?Hahaha ndivyo ilivyo.
Na je ulipata funzo gani juu ya lile tendo?
Nadhani utakua umeshapata mantiki ya swali langu.