uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Kwa tunaofatilia haya mashindano utaona team ndogo zimekuja na mkakati wa kuzikamia team kubwa
Hii ilianzia kwenye AFCON pale Ivory coast na naona inaendelea hivyo hivyo ambapo team Giants Afrika ikiwemo Taifa Stars chini ya manguli Mgunda na Moroco zimekutana na ukamiaji huo.
Ila naamini mwisho tutaenda afcon kule Morroco vizuri tu hasa baada ya mgunda kuamua kujikita Sasa kwa taifa stars (Samia eleven) na kuachana na Simba queens