Kaangalie upya rekodi za head to head kati ya Tz na Ethiopia.Kwa tunaofatilia haya mashindano utaona team ndogo zimekuja na mkakati wa kuzikamia team kubwa
Hii ilianzia kwenye AFCON pale Ivory coast na naona inaendelea hivyo hivyo ambapo team Giants Afrika ikiwemo Taifa Stars chini ya manguli Mgunda na Moroco zimekutana na ukamiaji huo.
Ila naamini mwisho tutaenda afcon kule Morroco vizuri tu hasa baada ya mgunda kuamua kujikita Sasa kwa taifa stars (Samia eleven) na kuachana na Simba queens
Uko sahihi Ethiopia wako na fitness nzuri sanaLack of fitness ndiyo iliyotuangusha kwenye ile mechi wachezaji wa Ethiopia walikuwa wapo fit kuliko wachezaji wetu. Hasa yule jamaa mbantu anaitwa sijui kamara aliwahenyesha sana wachezaji wa stars kwa ufiti alionao
Mpaka sasa naamini taifa stars hakuna mchezaji mwenye fitness kumzidi khalid aucho huo ndio ukweli. Wachezaji wetu wajitume kwa kufanya mazoezi binafsi km wachezaji wengine wa kigeni.