Sishangai Yanga kuleta kocha mpya!Labda sasa wanataka kucheza mpira

Sishangai Yanga kuleta kocha mpya!Labda sasa wanataka kucheza mpira

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Habari za kuleta kocha mpya zimeshika kasi tena. Nasisitiza sishangai Yanga kuleta kocha mpya kwa sababu matokeo yao si kwa sababu ya kocha waliyenaye bali kocha kivuli. Huyu kocha kivuli amekuwa nyuma ya matokeo mengi ya Yanga.

Huyu kocha mzungu ni geresha tu lakini kocha kivuli aitwaye "pesa" ndiye aliye nyuma ya matokeo ya Yanga inayosifiwa sana na magazeti na watangazaji maslahi. Huenda yanga sasa wameamua kucheza mpira.
 
Mpira hauchezwi gizani mleta mada huu ni ufinyu wa uelewa wako au unazi umeukumbatia yanga tulio kuwa tunaijua zamani sio hii yenyewe ilikuwa mbele kwa mbele ndio falsafa yao sasa wamebadilika wanapanga mashambulizi mpira unapita penye njia zake ukiendelea na fikra hizo huwezi kulitambua hilo punguza mahaba kwa nia njema tu utaiona yanga.
 
Habari za kuleta kocha mpya zimeshika kasi tena.Nasisitiza sishangai Yanga kuleta kocha mpya kwa sababu matokeo yao si kwa sababu ya kocha waliyenaye bali kocha kivuli.Huyu kocha kivuli amekuwa nyuma ya matokeo mengi ya Yanga.Huyu kocha mzungu ni geresha tu lakini kocha kivuli aitwaye "pesa" ndiye aliye nyuma ya matokeo ya Yanga inayosifiwa sana na magazeti na watangazaji maslahi.Huenda yanga sasa wameamua kucheza mpira.

Huna hata aibu kutapika pumba hapa?
 
Hata iwasijili Sir Alex Na Pep mtaishia humu humu Mpira no sayansi sio uchawi Na kununua mechi
 
Yanga hii utadhani Barc ya akina Messi ndo unaitusi? Waulize JKT Ruvu watakwambia
 
Habari za kuleta kocha mpya zimeshika kasi tena.Nasisitiza sishangai Yanga kuleta kocha mpya kwa sababu matokeo yao si kwa sababu ya kocha waliyenaye bali kocha kivuli.Huyu kocha kivuli amekuwa nyuma ya matokeo mengi ya Yanga.Huyu kocha mzungu ni geresha tu lakini kocha kivuli aitwaye "pesa" ndiye aliye nyuma ya matokeo ya Yanga inayosifiwa sana na magazeti na watangazaji maslahi.Huenda yanga sasa wameamua kucheza mpira.
Mchangishane kwenye Whatsapp labda mtotoka mwaka huu. Wewe umechangia Shs ngapi so far?
 
Msimbaz sc mlifanya miamala weee mpaka hela imekwisha mkaanza kupigwa hata na watoto wadogo
Walipeni wachezaji wenu mishahara sio mnawapa marefa na makipa wa timu pinzani
 
Habari za kuleta kocha mpya zimeshika kasi tena.Nasisitiza sishangai Yanga kuleta kocha mpya kwa sababu matokeo yao si kwa sababu ya kocha waliyenaye bali kocha kivuli.Huyu kocha kivuli amekuwa nyuma ya matokeo mengi ya Yanga.Huyu kocha mzungu ni geresha tu lakini kocha kivuli aitwaye "pesa" ndiye aliye nyuma ya matokeo ya Yanga inayosifiwa sana na magazeti na watangazaji maslahi.Huenda yanga sasa wameamua kucheza mpira.
Kweli we kibaravumba. Kwamacho tu huoni mpira wa Yanga ni mwingi.?!!! Acha mavumbi yakukolee
 
Soka la Bongo ni sheedah, wangempandisha daraja mwambushi
 
Habari za kuleta kocha mpya zimeshika kasi tena.Nasisitiza sishangai Ya kucheza mpira.
wamecheza mpk wamefika hatua za makundi CAF walikua wanamuhonga nani? nyie mikiamna shida sana na mwaka huu hata huo ubingwa mtausoma kwe gazeti..mtaendelea tu kulalamika yanga wanabebwa ila haitowasaidia kitu
 
Simba baada ya kuona ndoto ya ubingwa inashindwa kutekelezeka baada ya Yanga kubakisha point mbili wameenza porojo.....hahahaha....mzunguko unaokuja jiandaeni kisaikolojia tu maana huko mikoani hawapendagi ujinga.
 
Back
Top Bottom