kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Habari za kuleta kocha mpya zimeshika kasi tena. Nasisitiza sishangai Yanga kuleta kocha mpya kwa sababu matokeo yao si kwa sababu ya kocha waliyenaye bali kocha kivuli. Huyu kocha kivuli amekuwa nyuma ya matokeo mengi ya Yanga.
Huyu kocha mzungu ni geresha tu lakini kocha kivuli aitwaye "pesa" ndiye aliye nyuma ya matokeo ya Yanga inayosifiwa sana na magazeti na watangazaji maslahi. Huenda yanga sasa wameamua kucheza mpira.
Huyu kocha mzungu ni geresha tu lakini kocha kivuli aitwaye "pesa" ndiye aliye nyuma ya matokeo ya Yanga inayosifiwa sana na magazeti na watangazaji maslahi. Huenda yanga sasa wameamua kucheza mpira.