kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Watanielewa sana wanaozitoa!Sehemu walipofanya majaribio ya kutokupenyeza rupia walipigwa bila aibu!Kivipi?
Zile chenga za Tambwe,Kamusoko na Niyonzima huwa zinachezwa na noti?
hivi Aden Rage huwa anawaitaje hawa jamaa?
Habari za kuleta kocha mpya zimeshika kasi tena.Nasisitiza sishangai Yanga kuleta kocha mpya kwa sababu matokeo yao si kwa sababu ya kocha waliyenaye bali kocha kivuli.Huyu kocha kivuli amekuwa nyuma ya matokeo mengi ya Yanga.Huyu kocha mzungu ni geresha tu lakini kocha kivuli aitwaye "pesa" ndiye aliye nyuma ya matokeo ya Yanga inayosifiwa sana na magazeti na watangazaji maslahi.Huenda yanga sasa wameamua kucheza mpira.
Mchangishane kwenye Whatsapp labda mtotoka mwaka huu. Wewe umechangia Shs ngapi so far?Habari za kuleta kocha mpya zimeshika kasi tena.Nasisitiza sishangai Yanga kuleta kocha mpya kwa sababu matokeo yao si kwa sababu ya kocha waliyenaye bali kocha kivuli.Huyu kocha kivuli amekuwa nyuma ya matokeo mengi ya Yanga.Huyu kocha mzungu ni geresha tu lakini kocha kivuli aitwaye "pesa" ndiye aliye nyuma ya matokeo ya Yanga inayosifiwa sana na magazeti na watangazaji maslahi.Huenda yanga sasa wameamua kucheza mpira.
Kweli we kibaravumba. Kwamacho tu huoni mpira wa Yanga ni mwingi.?!!! Acha mavumbi yakukoleeHabari za kuleta kocha mpya zimeshika kasi tena.Nasisitiza sishangai Yanga kuleta kocha mpya kwa sababu matokeo yao si kwa sababu ya kocha waliyenaye bali kocha kivuli.Huyu kocha kivuli amekuwa nyuma ya matokeo mengi ya Yanga.Huyu kocha mzungu ni geresha tu lakini kocha kivuli aitwaye "pesa" ndiye aliye nyuma ya matokeo ya Yanga inayosifiwa sana na magazeti na watangazaji maslahi.Huenda yanga sasa wameamua kucheza mpira.
wamecheza mpk wamefika hatua za makundi CAF walikua wanamuhonga nani? nyie mikiamna shida sana na mwaka huu hata huo ubingwa mtausoma kwe gazeti..mtaendelea tu kulalamika yanga wanabebwa ila haitowasaidia kituHabari za kuleta kocha mpya zimeshika kasi tena.Nasisitiza sishangai Ya kucheza mpira.