Sishangai Yanga kuleta kocha mpya!Labda sasa wanataka kucheza mpira

Chezeni mpira kuishia makundi si kitu cha kujisifu ! Tunawafahamu kwa uhodari wa kucheza mpira nje ya uwanja ndio maana international match mnadoda sana
 
Huna unalojua kuhusu mpira wewe nenda kalime..
 
Tumekusamehe bureeeee, barmed,mbumbumbu bin mikia aka vunja viti. Ni utani tu
 
Kocha mpya ameshangaa kukuta wachezaji hawajui ku control mpira na hata kupokea pasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…