kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
- Thread starter
- #21
Chezeni mpira kuishia makundi si kitu cha kujisifu ! Tunawafahamu kwa uhodari wa kucheza mpira nje ya uwanja ndio maana international match mnadoda sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna unalojua kuhusu mpira wewe nenda kalime..Habari za kuleta kocha mpya zimeshika kasi tena.Nasisitiza sishangai Yanga kuleta kocha mpya kwa sababu matokeo yao si kwa sababu ya kocha waliyenaye bali kocha kivuli.Huyu kocha kivuli amekuwa nyuma ya matokeo mengi ya Yanga.Huyu kocha mzungu ni geresha tu lakini kocha kivuli aitwaye "pesa" ndiye aliye nyuma ya matokeo ya Yanga inayosifiwa sana na magazeti na watangazaji maslahi.Huenda yanga sasa wameamua kucheza mpira.