Sisi bado tupo usingizini, wenzetu Kenya wanafikiria kufanya hili

The grass is always greener on the other side. This "grass is greener" syndrome will make us unhappy and we will spend all of our time and energy on focusing on what we don't have, rather than counting our blessings and building on them
 
If wishes were horses..........................11b euros...........................mmmmmh..................lets give examples of much smaller projects that could not succeed..................Kisumu molasses..................... NHIF Health care................Nbi state of the art country bus station.............(now an eye sore)................city hall loan of 5b.................... all stolen but loan has to be repaid ......................... Nairobi - mombasa road under construction every year since 1978 ..............goldenberg multi scandals.......(never to be solved)...........360 million helicopter servicing contract……………………. 4.1 billion Navy ship deal…………………….supply of Mahindra Jeeps………………………………prisons $3 million boilers………………………The construction of Nexus, US$36.9 million ...............£20 million passport equipment system ………………………..Anglo-Leasing…………………………..Grand Regency Scandal US $60 million………………………missing millions in free primary education program.........................irreversible land grabbings ............ ........... all these things do not require a brain if you compare with Konza dream............................as usual........................... go on and create the cow for milking by the chosen few...............the name of the movie " Impunity Strikes Again"..........put on your 3D movie glasses and enjoy, after all how do you judge that a child will succeed in the coming examinations? is it not past performance?
..Mkuu pamoja na hayo, umeshajiuliza ni kwanini wao Uchumi wao unafanya vizuri zaidi ya kwetu ilihali sisi tuna rasilimali nyingi kushinda wao, ni kwamba sisi ni wavivu wa kufanya kazi au hatuna uzalendo kwa nchi yetu!!
Matokeo yake leo hii Kenya ndio nchi inayoongoza kwa Investment hapa Tanzania, kinachofuatia tunabaki kulalamika kwamba wanatuibia rasilimali zetu....
 
Mimi kama mimi natoa sababu mbili za hali kuwa hivyo. Sababu ya kwanza ni kwamba Kenya waliwahi kushika wawekezeji wote waliokuja hapa Afrika mashariki. Hii ni kwa sababu wakati huo Tanzania ilikuwa kwenye ujamaa na wawekezaji wengi walikuwa wametimuliwa na mali zao kutaifishwa. Sasa hivi katika ka Matajiri wakubwa uingereza kuna wahindi wanne walio tokea Tanzania enzi hiyo. Wawekezaji pamoja na kutoa ajira kwa wingi ufundisha wenyeji kazi za uzalishaji hasa viwandani, uleta hela za kigeni na kuvutia wawekezaji wengine wanao waona kuwa wamefanikisha. Asilimia kubwa sana ya ushuru wa Kenya utoka kwa wawekezaji na sasa hivi wakenya wameshajua kazi na kupata uwezo wa kuwekeza wenyewe.

Sababu ya pili ni kwamba watanzania wana asilimia kubwa ya watu wavivu sana, hawana tabia ya kujituma, wengi wakiaminiwa wanakosa uaminifu na elimu pia ni finyu. Mfano, uende kiwanda kinacho ajiri watu mia, utashangaa kwa mwaka mzima hakuna siku hata moja wote mia watakuwa kazini kwa pamoja. Leo huyu anaumwa - hata kama ni kichwa kinauma au malaria ya kumeza vidonge na kuendelea kuchapa kazi wanataka wapate off. Mtu mmoja anaweza kufiwa hata mara tatu kwa mwaka na zote anataka apate off ya siku mbili au tatu. Kuna tabia ya kusema kwamba mtu anakula kazini kwake kwa hiyo tabia ya kuiba vitu vidogodogo ipo sana na inatesa sana viwanda kwa sababu hivyo vi bearing na vi spare vidogo dogo vinaweza kufanya kazi ya mamilioni ishindikane. Utaona mwingine anaenda ofisini serekalini amebeba vitabu vyake na vya watoto akatoe photocopy. Pia saa za kazi zikiisha utaona on the dot kila mfanya kazi ameondoka. Utadhani kazi ni ugonjwa. Hakuna kujituma ili kampuni au biashara ikuwe. Kosa lingine ni kwamba waajiriwa wachache sana wanajituma kuongeza elimu wakati wanaendelea na kazi.

Rasilimali za Tanzania ndio zinazoipeleka nchi mbele kwa kasi na ikifika wakati wafanya kazi wataongeza kujituma, basi nchi itaweza kuendelea. Sasa hivi vyuo vikuu ni vingi na ni vikubwa, kwa hiyo tutaona ongezeko kubwa ya graduates kazini, pamoja na wanaofika form four na form six na kuongezea vyeti vya diploma na certificate. Hii inamana quality ya wafanya kazi itakuwa juu zaidi siku zijazo. Ukiongeza na rasilimali basi Tanzania itafanya vizuri. After all, Rome was not built in a day.
 
-Tatizo kuu hapa TZ.. hapo ktk Red
-Baada ya Uhuru, Kenya haikutimua Settlers na wanasafiria nyota hiyo hadi leo...
-Uchumi wa Kenya uko katika uzalishaji wa viwanda na uwekezaji binafsi.. raia wa kawaida bado hana maisha bora...
-
 
Mimi kama mimi natoa sababu mbili za hali kuwa hivyo. Sababu ya kwanza ni kwamba Kenya waliwahi kushika wawekezeji wote waliokuja hapa Afrika mashariki. Hii ni kwa sababu wakati huo Tanzania ilikuwa kwenye ujamaa na wawekezaji wengi walikuwa wametimuliwa na mali zao kutaifishwa. Sasa hivi katika ka Matajiri wakubwa uingereza kuna wahindi wanne walio tokea Tanzania enzi hiyo. Wawekezaji pamoja na kutoa ajira kwa wingi ufundisha wenyeji kazi za uzalishaji hasa viwandani, uleta hela za kigeni na kuvutia wawekezaji wengine wanao waona kuwa wamefanikisha. Asilimia kubwa sana ya ushuru wa Kenya utoka kwa wawekezaji na sasa hivi wakenya wameshajua kazi na kupata uwezo wa kuwekeza wenyewe.

Sababu ya pili ni kwamba watanzania wana asilimia kubwa ya watu wavivu sana, hawana tabia ya kujituma, wengi wakiaminiwa wanakosa uaminifu na elimu pia ni finyu
. Mfano, uende kiwanda kinacho ajiri watu mia, utashangaa kwa mwaka mzima hakuna siku hata moja wote mia watakuwa kazini kwa pamoja. Leo huyu anaumwa - hata kama ni kichwa kinauma au malaria ya kumeza vidonge na kuendelea kuchapa kazi wanataka wapate off. Mtu mmoja anaweza kufiwa hata mara tatu kwa mwaka na zote anataka apate off ya siku mbili au tatu. Kuna tabia ya kusema kwamba mtu anakula kazini kwake kwa hiyo tabia ya kuiba vitu vidogodogo ipo sana na inatesa sana viwanda kwa sababu hivyo vi bearing na vi spare vidogo dogo vinaweza kufanya kazi ya mamilioni ishindikane. Utaona mwingine anaenda ofisini serekalini amebeba vitabu vyake na vya watoto akatoe photocopy. Pia saa za kazi zikiisha utaona on the dot kila mfanya kazi ameondoka. Utadhani kazi ni ugonjwa. Hakuna kujituma ili kampuni au biashara ikuwe. Kosa lingine ni kwamba waajiriwa wachache sana wanajituma kuongeza elimu wakati wanaendelea na kazi.

Rasilimali za Tanzania ndio zinazoipeleka nchi mbele kwa kasi na ikifika wakati wafanya kazi wataongeza kujituma, basi nchi itaweza kuendelea. Sasa hivi vyuo vikuu ni vingi na ni vikubwa, kwa hiyo tutaona ongezeko kubwa ya graduates kazini, pamoja na wanaofika form four na form six na kuongezea vyeti vya diploma na certificate. Hii inamana quality ya wafanya kazi itakuwa juu zaidi siku zijazo. Ukiongeza na rasilimali basi Tanzania itafanya vizuri. After all, Rome was not built in a day.
..Mkuu umetoa sababu za msingi. Mimi nakazia Hapo nilipoweka Red pia kukosekana kwa Uzalendo na Kutojiamini. Nchi haina wazalendo halisi kuanzia viongozi wenye maamuzi ngazi ya Serikali na hako kakirusi kanasambazwa mpaka kwa wananchi wa kawaida na mbaya zaidi mpaka kwa wasomi. Viongozi wanaoteuliwa kushika nafasi za kusimamia rasilimali za nchi ambazo ndizo zinatengeneza ajira kwa watanzania wengi, wao wanageuka kuwa wafanyabiashara tena bila uwoga wanaiba na kupeleka nje ya nchi huko dunia ya kwanza kulikoendelea tayari. Wasomi leo wanageuka wanasiasa ili kupiga dili. Wanaotoka vyuoni nao wakiingia ktk ajira fasta fasta ndani ya mwezi mtu anataka amiliki gari ya bei mbaya.

Hatufundishi wanafunzi wetu stadi za Ujasiriamali tangu wakiwa vyuoni, badala yake kila anaetoka chuoni anataka aajiriwe, Hatufundishi wanafunzi wetu walioko vyuoni Kujiamini, siamini kwamba skills wanazofundishwa wanafunzi wa Kenya mpaka waje wawekeze huku kwetu ni tofauti na hizo wanazofundishwa hapa kwetu.
Tuache uvivu, tufanye kazi, Tujiamini na Tuthubutu. Inawezekana
 
kwa neema ambayo Tanzana tunayo ndani ya miaka mitano tutakuwa mbali,kuanzia 2015 Tukwa CCM Free huyu ndo amekuwa mchawi wetu siku zote.................
 
Back
Top Bottom