Pre GE2025Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa weledi wa
Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa ueledi wa hali ya juu.
Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa ueledi wa hali ya juu.
Kati ya mambo ya kipuuzi ambayo yameharibu taswira yenu ni issue ya utekaji. Haijalishi kama ni ya kisiasa,kishirikina na hata ya uhalifu wowote;kutekana na watu kupotea kumeongeza chuki dhidi yenu nakuonekana kwamba chama chenu ni cha kiharamia