ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Habari wanagentamycine washabiki kindakindani wa Simba kindaki ndaki, nikiongea kutokea Tanga mjini maeneo ya Mkwakwani napenda kutoa taarifa kuwa taarifa za simba kumnunua mchezaji wetu Lameck Lawi si za kweli, na simba hawakufuata utaratibu tuliowapa. kwakuwa tumeshapata offa nzuri kutoka nje ya nchi na simba imeshindwa kukidhi matakwa yetu hivyo hatutawaachia Lawi.
Ushauri wangu kwa Malokokocho ni kuwa kwa kuwa Inonga Beki la kimataifa la Congo limesepa na kenedy juma amesepa pia, sasa nawashauri mumchukue Mwamunyeto kutoka yanga ambaye ana speed kubwa , aende kucheza na beki mwenye spidi ya kobe mkameruni fondo malon che mzee wa slow motion.