ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Take care na hicho kibunda broNina kibunda changu cha elfu 2 muda wote nipo nacho mkononi, wasije vibaka wakakikwapua maana maeneo nayopita kila mtu ananitolea macho. Ukiniongezea na hiyo afu 3 naweza nisifanye kazi siku 2 mfululizo