"Sisi hadi tutoke ndio tule"- Kauli ya malofa

Hizi huwa ni kauli za kina Anko T, Juma lokole na wenzako ukiwemo wewe mleta mada!!. Mwanaume anayejua maisha na mazingira magumu ya uchumi wa Tz hawezi kutoa kauli ya ******* kama Yako. Fuatilia kwa makini ndgu zako kina Anko T Wana kauli kama zako za kubeza watu kwasababu ya kupata pesa mtelezo. Mazafaka...
 
Mwe
Mwenye ujuzi Halali njaa na mwenye ufahamu hafanyi kazi siku zote Ili ale.
 
Unaweza kuleta ushaidi wa pasipo na Shaka wa watu kulipwa ?
Wewe ni mpumbavu hunaakili.wenzenu wanalipwa huku kukuhamasisha wewe kufanya vurugu then wakuue kisha yeye alipwe pesa.kama sio uzwazwa ni nini? Nenda katoke kesho uwone utavyobwagwa ubongo chizi wewe.fanya kazi pimbi wewe
ta
 
Wewe Pumbavu, wanaopata peso mtelezo ni wanaochota pesa za raia za kodi kufanyia maisha yao na kuwalipa nyie machawa
 
Nani ambae anakaa ndani na anakula? Wote lazima tutole ndio tupate rizki zetu, hata wewe unayedhani unaweza kukaa ndani na ukala, bado kuna siku lazima utoke ndio mkate upatikane, usipotoka familia haili.

So yeah, lazima tutoke ndio tule.
Uelewa wako ni duni sana, kama ni hivyo unavyosema hao malofa vilaza wanaopiga kelele na midomo kama chuchunge wangesema "wote" hadi tutoke ndio tule badala ya "sisi" hadi tutoke ndio tule.
 
Uko addicted sana na mapenzi.
 
Matajiri wa jf tumeshawazoea. Tunajua hizi ni mbwembwe tu zinazowezeshwa na fake id
Kauli za Kiswahili tu hizi za mediocres. Utamaduni wa Kiswahili wa mindset ya kujiweka utwana na ku romanticize kuganga njaa ni wa kipuuzi sana.
 
Kauli za Kiswahili tu hizi za mediocres. Utamaduni wa Kiswahili wa mindset ya kujiweka utwana na ku romanticize kuganga njaa ni wa kipuuzi sana.
Sigangi njaa. I can take care of myself. Lakini naelewa dynamic na chaos zilizopo kwenye uchumi wetu. Kwaiyo siwezi kuwabeza ambao kula yao inategemea kutoka. Ni ujinga kumsimanga mtu ambae haumsaidii chochote.
 
Acheni kulazimishwa watu wahisi wanaonewa.!

Hakuna fisadi mwenye matumbo saba

Wale wanywe na wavimbilwe nao ni wafu tu wa kesho

Huwa Sina wivu na mtu anayekufa, kama kungekuwa na u milele ningekuwa wa kwanza kuuwa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…