Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Ndugu zangu watanzania
Mgao wa umeme unaoendelea ni matokeo ya kupungua kwa kina cha maji kwa vyanzo vyetu tunavyovitegemea KILA mwaka!
Ikumbukwe KWAMBA mvua za Msimu wa mwaka 2021/2022 zilikuwa chini 1500mm hivyo kutokujaza ipasavyo nyanzo vyetu VYA umeme kama kidatu,mtera na vinginevyo,Hali hii imesababisha kupungua kwa kina cha maji kutokana na ukame unaoendelea nchini na kuchelewa kwa mvua za vuli kumeleta sintofahamu katika vyanzo vyetu VYA umeme!
Kutokana na tatizo la mgao,sisi kama wizara ya nishati tumeona tuje na mipango kazi mingi Sana ya kukabiliana na tatizo hili,nachelea kusema IPTL ni sehemu ndogo Sana ya mipango kazi mikubwa tuliyonayo ILI kukabiliana mgao wa umeme nchini!
Mipango kazi yote ipo katika Hatua za Mwisho kabisa kutekelezwa na IPTL ikiwa ni sehemu ndogo Sana ya mpango kazi huo ILI kuleta umeme wenye tija nchini!
Tuna imani kama wizara mipango kazi hii itatatua tatizo la kukatika katika umeme nchini na kuondoa sintofahamu ya umeme!
Wananchi muwe watulivu katika kipindi hiki cha mpito wakati tukikamilisha Hatua za Mwisho za utekelezaji wa mipango kazi hii!
Asanteni Sana kwa kunisikiliza!
Mungu ibariki Tanzania, ibariki wizara ya nishati na umeme!
NB
Nimeongea kama naibu waziri wa nishati na umeme nchini!
Bandiko hili,liwafikie;-
-Mh. Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan.
-Waziri wa nishati na umeme Mh.January Makamba.
-Katibu mkuu na makatibu mbali mbali wa wizara husika