PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Tutaanza kushangilia kuanzia goli la sita, hayo matano ya mwanzo hatutayashangilia sababu tunajua tayari yapo.
Na kwenye hayo magoli saba yule jamaa yao mwenye goli 5 lazma apige hat trick.. hivyo kombe mna kosa na kiatu mnakosa...
Ma bwege nyie
Na kwenye hayo magoli saba yule jamaa yao mwenye goli 5 lazma apige hat trick.. hivyo kombe mna kosa na kiatu mnakosa...
Ma bwege nyie