OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Video ikionyesha wahuni wa Yanga wakiahidi kufanyia fujo marefa kama timu yao itafugwa. Mtibwa Sugar tunatoa rai kwa TFF ishirikiane na Jeshi la Polisi kuweka ulinzi na kutoa kipigo cha mbwa koko kwa wahuni wa Yanga.
Tunalitaka jeshi litoe onyo kabisa kabla ya mechi,wahuni wanaokuja na matoeo ni bora wabaki nyumbani.
Tunasema hivo kwa sababu tunaenda kutoa kipigo kizito kwa Yanga ili wajitoe vizuri.
Kifaru