Video ikionyesha wahuni wa Yanga wakiahidi kufanyia fujo marefa kama timu yao itafugwa. Mtibwa Sugar tunatoa rai kwa TFF ishirikiane na Jeshi la Polisi kuweka ulinzi na kutoa kipigo cha mbwa koko kwa wahuni wa Yanga.
Tunalitaka jeshi litoe onyo kabisa kabla ya mechi,wahuni wanaokuja na matoeo ni bora wabaki nyumbani.
Tunasema hivo kwa sababu tunaenda kutoa kipigo kizito kwa Yanga ili wajitoe vizuri.
Utaratibu ni uleule kama kawaida yangu.
Soltep ya karatasi naiandika jina la ile timu kisha naibandika pumbu ya kushoto kisha iyo Pumbu naiminyaaa mpaka mpira uishe.
Akuna kucheka na Manyani.