King Corbin Member Joined Oct 14, 2019 Posts 15 Reaction score 6 Nov 22, 2019 #1 Jaman wajuba wenzangu kama wewe ni mpenzi wa vichekesho nitajie msemo mmoja wa wanyabi. Mimi naanza na "Mtoto wa kike unamkuta anajishaua anaend chuo kumbe college ya D mbili huo ni unini?"
Jaman wajuba wenzangu kama wewe ni mpenzi wa vichekesho nitajie msemo mmoja wa wanyabi. Mimi naanza na "Mtoto wa kike unamkuta anajishaua anaend chuo kumbe college ya D mbili huo ni unini?"
Busara ziro Member Joined Dec 2, 2019 Posts 63 Reaction score 57 Dec 3, 2019 #2 King Corbin, ]Aaah usinipangie