kwisha JF-Expert Member Joined Sep 9, 2021 Posts 1,779 Reaction score 4,982 Nov 9, 2022 #1 Mimi sio chizi au pumbavu ambaye nilisema tukubali jina la wala mihogo, maana naona jina hilo linakuja na bahati, nlitukanwa sana. Mmeona matokeo! Sisi ndiyo wala mihogo!
Mimi sio chizi au pumbavu ambaye nilisema tukubali jina la wala mihogo, maana naona jina hilo linakuja na bahati, nlitukanwa sana. Mmeona matokeo! Sisi ndiyo wala mihogo!
Cvez JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 4,405 Reaction score 13,411 Nov 9, 2022 #3 Tasa kanasa mimba huko mtaani kutajaa mate tu.