Juzi tuu Uingereza wameupdate list ya nchi ambazo hawaruhusiwi ku-recruit sababu eti na wao pia wana shortage ya staffs hasa hasa kada ya afya.
UK aligns with World Health Organization’s advice on ethical recruitment to promote effective, fair and sustainable international recruitment practices.
Lakini ukija kwa ground kuna watu wengi wamegraduate hawana ajira wanateseka mtaani tuu.
Unforgetable