Sisi Tanzania tunajenga SGR na pesa zetu. Hatukopi kama wakenya

Reli ramani imepotelea kichakani….Mturuki anadai hela zimeisha...Stesheni zingine zinakaa vyoo vya askari kanjo..kama ile ya Puga...Reli ya umeme yenye stesheni namna ile ni kutia aibu aisee….
 
Reli ramani imepotelea kichakani….Mturuki anadai hela zimeisha...Stesheni zingine zinakaa vyoo vya askari kanjo..kama ile ya Puga...Reli ya umeme yenye stesheni namna ile ni kutia aibu aisee….
Hahahahaha, andaa passport budaa uje upande the first bullet train in Africa iliyojengwa kwa pesa ya waafrica wenyewe, sio wachina
 
Reli ramani imepotelea kichakani….Mturuki anadai hela zimeisha...Stesheni zingine zinakaa vyoo vya askari kanjo..kama ile ya Puga...Reli ya umeme yenye stesheni namna ile ni kutia aibu aisee….
Subiri mradi uishe ndio upige kelele,Najua lazima utazuru Tz uje utoe ushamba kidogo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
That is the only thing you could see in that entire statement...You couldn't see the ones launched and in operation.

You couldn't even show me a cm of Bagamoyo port.

Next time do a lil bit of research...don't expose your ignorance here!
Kila nchi kuna miradi iliyo zinduliwa, inayo jengwa na iliyo kwenye mipango, ata uende bangladesh, Malawi, Chad, USA e.t.c. Hii kauli ya "tuta" mmeikuza nyie kwa ujinga wenu mkizani miradi yenu huwa inatokea ghafla. Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
 
Lini launching ya Lamu port ilifanyika?, lete ushahidi wa video tuone, Lamu port is dead before is born, hakuna project ya GoK inayotengeneza faida. BRT inatengeneza faida, tatizo ni abiria ni wengi kuliko idadi ya buses, soon 140 buses zitafika.

Bagamoyo Port baada ya serikali kuhisi inaweza isitengeneze faida, tuliamua kukabidhi kwa private sector, hiyo tena sio project ya Serikali haitihusu, sisi sio kama ninyi ambao hata baada ya kuonywa na wasomi kuhusu viability of project ya SGR na Lamu port bado mliendelea, sasa mnaanza kupata hasara
 
Hahahahaha, andaa passport budaa uje upande the first bullet train in Africa iliyojengwa kwa pesa ya waafrica wenyewe, sio wachina
tangazo la jana limewanyima amani kabisa
Lakini haisumbui Kitu
 
Hahahahaha, utazidi kuumia sana. Ngoja nikupe ratiba ya mwaka huu.
1)Mwezi huu tunafungua the biggest and most modern Airport in EA.
2)Mwezi November Tunazindua the first bullet train in Africa.

Andaa passport, haturuhusu IDs.
Wewe hujui maana ya bullet train. Hio mkebe yenu ndio unaita bullet train
 
Ile yenu ni lini mtazikutanisha na chuma chakavu chenzake wafanye collabo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mchina huendi mbinguni

Yaani umewakata ngebe wakenya mpaka sio poa 😁😁😁
 
Watanzania hawajengi SGR ,Watanzania hoi jamani hutikidhi mahitaji yetu, soko la mazao tunapangiwa na wasomi wa mujini.
 
cc joto la jiwe...airport yenye unaongelea ni lile go down la maize millers
 
Hivi kwanini serikali ya Tanzania bila aibu walidanganya kwamba wanajenga kwa hela yao ilhali mikopo yote hii walichukua kimya kimya, duh ukiwa na raia kama Watanzania utaongoza kwa raha, maana wapo wapo tu, huendana na kila unachowaambia.
 
Pole Anko I see you in great pain about yoo country Kenya. Don't waste your time abt tz utajinyonga bure.... Kaa tu na Kenya yako OK boy
 
Hahahahaha, andaa passport budaa uje upande the first bullet train in Africa iliyojengwa kwa pesa ya waafrica wenyewe, sio wachina
Hahaha wewe unajua bullet train ni nini? Google kwanza ndo ukuje tuongee sasa…...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…