joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Nimesha Google inasema hivi ; " Bullet train is the one which soon will be launched by an African country, the country which leads in economic inclusiveness and very peaceful country of all the time".Hahaha wewe unajua bullet train ni nini? Google kwanza ndo ukuje tuongee sasa…...
It wasn't in our country's best interest to build a new port while we have three working ports already (Mtwara, Dar and Tanga).Where is Bagamoyo Port? .....
Dogo Ingawa katika hili nakusapoti. Ila jitahidi tuwaokoe kizazi cha turkana kila mwaka njaa.US$1.2 billion + US$1.46 billion = US$ 2.66 billion
View attachment 1089607
Na wew kwenu mnatekana kila siku kwa kuwa mkosoaji ,nani zaidi hapoWehu ni wale wanaochinjana kila "election" na kubaguana kwa misingi ya ukabila.
Hahahahaha, toa idadi ya waliotekwa na tulinganishe na waliouliwa huko Kenya, hawafikii hata 1%.Na wew kwenu mnatekana kila siku kwa kuwa mkosoaji ,nani zaidi hapo
Do you know what a bullet train is?Hahahahaha, utazidi kuumia sana. Ngoja nikupe ratiba ya mwaka huu.
1)Mwezi huu tunafungua the biggest and most modern Airport in EA.
2)Mwezi November Tunazindua the first bullet train in Africa.
Andaa passport, haturuhusu IDs.
Yes I know, that's why I have mentionedDo you know what a bullet train is?