Sisi Timu ya Wananchi Hatuna Imani Tena na Kigwangwala kwa alichotufanyia

Sisi Timu ya Wananchi Hatuna Imani Tena na Kigwangwala kwa alichotufanyia

Rajab_Omar

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Posts
16,482
Reaction score
27,182
Salaam Wananchi Wezangu

Sisi Washabiki wa Dar Young Africans tunatangaza Wazi kuwa alichotufanyia Hamisi Kigwangwala ni Hujuma dhidi ya Wananchi, Alijitengezea Mgogoro na MO Dewj akatuhadaa sisi Wananchi tukaamua kumuunga mkono na kukomaa na yeye tukajisahau kama na sisi tuna Timu inahitaji maandalizi.

Hatimae Washabiki pamoja na Uongozi mzima wa Timu yetu ya Yanga tukajisahau kuwa tuna game tukaishia kufatilia Upuuzi wa Kigwangwala.

Ona sasa tulivobanwa na Prizon.
Na kibaya zaidi Kigwangwala kapigwa mkwala na Bashiru kaamua kuyfyata katuacha sisi Wananchi kwake tumekosa na uwanjani tumekosa.

Naipenda sana Timu yangu ya Yanga lakini tujifunze kuacha kiherehere kwa jirani wakati kwetu kuko hovyo.

Sasahivi Kigwangwala Simba imeshinda yeye anatucheka tu wakati Jana tikuwanae bega kwa bega.

BASHIRU & HK.jpg
 
Bashiru anastress nae. Ile ni account binafsi, pia kuna maisha nje ya uchaguzi.
Mkuu hujamwelewa tu Bashiru...hiyo ni lugha ya kikubwa ya kumwambia Kigwa kuwa anakaa uchi...Waziri wa sekta nyeti kama Maliasili na Utalii,kuanikwa mtandaoni kuwa umekataliwa mkopo kutoka kwa tajiri mmoja hapa nchini ni kumuabisha hata aliye kuteua regardless anacho claim Kigwa ni kweli au la! hususan kipindi hiki cha Uchaguzi...Kigwangala should Man up.
 
Nakuelewa mkuu, lakini sidhani kama Bashiru kamaanisha hivyo. Yale ni maisha binafsi, pia zile ni hisia. Huwezi mlazimisha mtu ashift feelings zake, kuelekea kule unakoona ww panafaa.
 
Back
Top Bottom