Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Salaam Wananchi Wezangu
Sisi Washabiki wa Dar Young Africans tunatangaza Wazi kuwa alichotufanyia Hamisi Kigwangwala ni Hujuma dhidi ya Wananchi, Alijitengezea Mgogoro na MO Dewj akatuhadaa sisi Wananchi tukaamua kumuunga mkono na kukomaa na yeye tukajisahau kama na sisi tuna Timu inahitaji maandalizi.
Hatimae Washabiki pamoja na Uongozi mzima wa Timu yetu ya Yanga tukajisahau kuwa tuna game tukaishia kufatilia Upuuzi wa Kigwangwala.
Ona sasa tulivobanwa na Prizon.
Na kibaya zaidi Kigwangwala kapigwa mkwala na Bashiru kaamua kuyfyata katuacha sisi Wananchi kwake tumekosa na uwanjani tumekosa.
Naipenda sana Timu yangu ya Yanga lakini tujifunze kuacha kiherehere kwa jirani wakati kwetu kuko hovyo.
Sasahivi Kigwangwala Simba imeshinda yeye anatucheka tu wakati Jana tikuwanae bega kwa bega.