Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Kwani hata kulamba makalio ya John huwezi? Basi kazi mnayo!!
Acha hizo kuwa na heshima kwa watu waliokuzidi umri kijana john unayemzunguzia ni sawa au zaidi ya umri wa baba yako sasa pamoja na tofauti na itikadi zetu za kisiasa tusiwadharau nduguKwani hata kulamba makalio ya John huwezi? Basi kazi mnayo!!
Ahsanteee kwa hisani yako najua utanikaribisha na lunch leoKaribu sana JF mjukuu wetu.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Sasa vyote nimevikosa nimebaki na piga miayo.Wapinzani jamani liamsheni dude ili nasi vijana tuwajibu kwa maneno ili tupate mkate wa kila siku, wanajamvi msinichukie hali ni mbaya huku ground, nawasilish
Daaah ningelijua hili nisingeshiriki dhuluma hii.CCM imara inategemea UPINZANI imara! Kipindi wapinzani wakiwa imara sana kipindi hicho katibu mwenezi akiwa Nape Nnauye, Ccm ilifanya harakati na amsha amsha kila sehemu. Bodaboda walipakiliwa mafuta, vijana mikoa mbalimbali walilishwa na kulipwa posho, maisha yalikuwa fresh!..
Nyie ndo mlisaidia kubeba kura za wizi wakati wa Uchafuzi na huko nyuma ndo mlikuwa "wasiojulikana" sasa mnaanza kujulikana baada ya kuona hamuwezi kuwamaliza Wapinzani na kugundua kumbe ndio binadamu. Mtajiju, wageuzieni kibao mashetani wa CCM!Ilizoeleka tukiwajibu wapinzani ndo tunaonekana zaidi, pia wakati wa uchaguzi tumefanya kampeni kuwapigania wagombea wetu wapite kwa kishindo.Walipita kwa kishindo....
Hivi ni chini kati au ni kati chiniKama vipi tembeeni na viboko muwacharaze watu wote wanaovaa barakoa wanatumiwa na mabeberu kwenye vita ya uchumi wetu wa chini kati.
tupo katika uchumi wa chini kabisa kati.Hivi ni chini kati au ni kati chini
[emoji870]Nawasilisha
Wapi Cyprian Musiba,Makonda,Shaka, Polepole,Musukuma,n.kCyprian musiba mwenyekiti wenu kachemsha Leo hii yupo hoi bin taaban hata Yale magazeti yake muda wowote atasitisha kutokana na ukata....kumbe wapinzani waligawa Ajira Kwa watu wengi sana