Sisi wa mkoani ubaguzi tuuonao Foleni za Dar

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
-Watu wenye magari makubwa kama VX V8 na Range Rover wanauziwa property magazine zenye taarifa za apartments na nyumba zinazouzwa.

-Watu wenye gari ndogo kama IST, Probox, Vitz, Premio, n.k. wanauziwa korosho, weipa, jumper cables na alfabeti za watoto.

-Watu wa daladala wanauziwa sumu ya panya mende viroboto sisimizi na mitego ya panya.

Wale kwa miguu wanaletewa dili za kitapeli kama dhahabu kwenye kichupa, au bahasha ya khaki unaambiwa ina hela mtu kadondosha pengine hata smartphone kali unaambiwa lete elfu 30 tu.[emoji51]
Wacha nirudi zangu mkoa tu.
 
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake! Ukiujua usemi huu, maisha ya Dar hayatakupa shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…