Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
-
- #121
Kwa akili yako angesema Magufuli alichokoza? Hujui siasa wala hujui kauli za wanasiasa.?Kasema"tulixho
Kasema "tulichokozana na umoja wa ulaya miradi ikakwama".
Sasa wapi kamtaja shetani JPM?ametumia Wingi,kuonyesha ilikuwa ni "corrective responsibility" ya Serikali nzima,hakuna Sehemu JPM katupiwa zigo.
Tatizo wafuasi wa JPM Bado mnaisi mpo ndotoni,mnawaza JPM anaweza kutokea wakati wowote,hamuamini zama zake zimepita.
Hivi katika history ya Tanzania kuna kiongozi aliyefanya mambo makubwa ndani ya muda mfupi kama JPM? Fedha alizitoa wapi?Huwezi kufanya makubwa bika fedha
Huwa ni watu tofauti Mkuu ila wamekusanyika pamojaUkiwaambia hii haifai wataitikia na kushangilia, kesho mwingine anakuambia inafaa wanashangilia tena, hiki ni chama kweli? Tunapata wapi confidence ya kuwakejeli vyama vingine kama chama chetu kipo hivi?
Ghafla tumegeuka masikini hohehahe fukara blali shiti!! Omba ombaMwendazake alituambia hii nchi ni Tajiri sana inaweza kuwa donor country.
Sasa imekuaje tena mama anagombea fedha za mabeberu?!
Samia anatakiwa kutekeleza yale JPM na Samia waliyoahidi na kuaminiwa na wananchi kutekeleza mwaka 2020.Unampangia Rais atawale kama unavyotaka kuna wafuasi wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa,Kikwete, hawa wote muda wao umepita sasa hivi ni muda wa Rais Samia na yeyye muda wake utapita Rais hayupo kufurahisha wafuasi wa mtu.
Hivi kuna kiongozi muonevu kama Samia? Samia kambikiza Mbowe kesi ya ugaidi kisa kasema katiba mpya? Samia kamfukuza Ndugai kwenye uspika kisa kasema tutegemee fedha za ndani na sio mikopo?Za kuua watu na uonevu!?
Kama unachukua fikra na falsafa za mgonjwa wa akili....ni tatizo sana.
Samia anatakiwa kutekeleza yale JPM na Samia waliyoahidi na kuaminiwa na wananchi kutekeleza mwaka 2020.
Kumbuka JPM kwa sera zake za kizalendo ndio kilisababisha CCM kushinda kwa kishindo kikubwa zaidi tangu vyama vingi kuanza
....
Polepole muhuniNasikia polepole mmeachana??
Ndiyo,mazuri yao ni rejea nzuri ila maovu ya wafu tunawezaje kuyaishi?Huyo mnayemsifia na kumtetea hawezi kuwa mfano wa kuigwa maana alikuwa mkatili na mharibifu.Lipo wapi bwawa la umeme la Nyerere?Limejazwa maji?SGR ya Dar-Morogoro imesafirishwa mizigo/abiria wangapi?Mkiambiwa alikuwa anatekeleza White Elephant Projects mna kasirika.Hivi mkuu watu wanavyoenzi fikra za akina Mandela, Mao, Nyerere, Martin Luther King Jr, hawa ni wanaabudu wafu?
John the Baptist kama baptist. Hizo ndizo rangi zako halisi maana siku nyingine unatoka kianaharakati zaidi haa haaaaaKila zama na kitabu chake!
Ccm ni chama kikubwa chenye mkusanyiko chanya wa fikra.
Tofauti na Chadema ambayo bila Freeman Mbowe hakuna chama.
Soma :"Tulichokozana",kwa maana na yeye alikuwemo,hajataja mtu mmoja.Yeye pia kajitaja katika huko kuchokozana.Sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura.
Tunauliza where is our pride? Maneno haya ni kinyume kabisa na kujiamini alipotupa Magufuli na Kabudi...na wana CCM wengi walivyo wanafiki wanampigia makofi kama walivyopiga kwa Magufuli, ndiyo maana kuna wakati najiuliza CCM ni chama cha siasa au ni genge tu la watu wanaolindwa na mabunduki kujipa madaraka na kula kodi zetu?
Ni chama gani cha siasa kisichokuwa na itikadi? Ukiwaambia hii haifai wataitikia na kushangilia, kesho mwingine anakuambia inafaa wanashangilia tena, hiki ni chama kweli? Tunapata wapi confidence ya kuwakejeli vyama vingine kama chama chetu kipo hivi?
Rais Samia amesema haya, nanukuu
Lakini pia tumeweza kukwamua miradi iliyokuwa imekwama, kama mnavyojua katikati hapa tulichokozana kidogo na umoja wa Ulaya uhusiano ukatetereka miradi ikakwama, Lakini tumeshakwamua fedha mradi mmoja umeshatiliwa na mwingine utatiwa hivi punde, kazi zitaendelea.
Kuna fedha nyingi zimetengwa kwa ajili ya Afrika kama Euro Bilioni 150 ambazo hizo sasa ni kinyanganyiro kwa Afrika. Atakayewahi mwanzo kupeleka miradi ya maana ndiye atakayepata fungu kubwa, kwa hiyo nasi tunajitayarisha tumeanza kupeleka...
View attachment 2125025
Acha wafu wazikane, lazima tushughulike na na walio hai na sio wafu!! Acha Rais atakapofikia atakuja mwingine aendelee.Sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura.
Tunauliza where is our pride? Maneno haya ni kinyume kabisa na kujiamini alipotupa Magufuli na Kabudi...na wana CCM wengi walivyo wanafiki wanampigia makofi kama walivyopiga kwa Magufuli, ndiyo maana kuna wakati najiuliza CCM ni chama cha siasa au ni genge tu la watu wanaolindwa na mabunduki kujipa madaraka na kula kodi zetu?
Ni chama gani cha siasa kisichokuwa na itikadi? Ukiwaambia hii haifai wataitikia na kushangilia, kesho mwingine anakuambia inafaa wanashangilia tena, hiki ni chama kweli? Tunapata wapi confidence ya kuwakejeli vyama vingine kama chama chetu kipo hivi?
Rais Samia amesema haya, nanukuu
Lakini pia tumeweza kukwamua miradi iliyokuwa imekwama, kama mnavyojua katikati hapa tulichokozana kidogo na umoja wa Ulaya uhusiano ukatetereka miradi ikakwama, Lakini tumeshakwamua fedha mradi mmoja umeshatiliwa na mwingine utatiwa hivi punde, kazi zitaendelea.
Kuna fedha nyingi zimetengwa kwa ajili ya Afrika kama Euro Bilioni 150 ambazo hizo sasa ni kinyanganyiro kwa Afrika. Atakayewahi mwanzo kupeleka miradi ya maana ndiye atakayepata fungu kubwa, kwa hiyo nasi tunajitayarisha tumeanza kupeleka...
View attachment 2125025
Sijasikia kwa masikio yangu huyo Samia kasema nini lakini kama amezungumzia masuala ya PPP... yaani Public Private Partnership basi ni kiongozi wa ajabu tu ndie anaweza kukataa PPP katika dunia ya leo!!Hivi mkuu umemsikia Samia kuhusu mambo ya Sekta binafsi kuingizwa kwenye miradi ya Serikali?
JPM hili alilikataa kata kata, hawaaminiki hawa
Ila Samia kasema kuna wafanyabishara kutoka Ulaya ambao watakuwa wakitoa hela zao kwenye miradi ambayo hugharimikiwa na Serikali,
Yaani huoni tofauti ya Samia na Magufuli kweli? Hata la kuruhusu wanafunzi wenye mimba, chanjo, kwa shinikizo la mabeberu?
Kumbe basi, wala sio hadi mradi uwe initiated na serikali! Hata wewe ukiona fursa mahali, unaweza kuandika proposal na kuipeleka serikalini ili hatimae mtekeleze project husika under PPP.Unsolicited proposal means a written proposal that is submitted to a relevant contracting authority on the initiative of a private party for the purpose of entering into a public private partnership agreement with the public sector;
Sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura.
Tunauliza where is our pride? Maneno haya ni kinyume kabisa na kujiamini alipotupa Magufuli na Kabudi...na wana CCM wengi walivyo wanafiki wanampigia makofi kama walivyopiga kwa Magufuli, ndiyo maana kuna wakati najiuliza CCM ni chama cha siasa au ni genge tu la watu wanaolindwa na mabunduki kujipa madaraka na kula kodi zetu?
Ni chama gani cha siasa kisichokuwa na itikadi? Ukiwaambia hii haifai wataitikia na kushangilia, kesho mwingine anakuambia inafaa wanashangilia tena, hiki ni chama kweli? Tunapata wapi confidence ya kuwakejeli vyama vingine kama chama chetu kipo hivi?
Rais Samia amesema haya, nanukuu
Lakini pia tumeweza kukwamua miradi iliyokuwa imekwama, kama mnavyojua katikati hapa tulichokozana kidogo na umoja wa Ulaya uhusiano ukatetereka miradi ikakwama, Lakini tumeshakwamua fedha mradi mmoja umeshatiliwa na mwingine utatiwa hivi punde, kazi zitaendelea.
Kuna fedha nyingi zimetengwa kwa ajili ya Afrika kama Euro Bilioni 150 ambazo hizo sasa ni kinyanganyiro kwa Afrika. Atakayewahi mwanzo kupeleka miradi ya maana ndiye atakayepata fungu kubwa, kwa hiyo nasi tunajitayarisha tumeanza kupeleka...
View attachment 2125025
Mkuu unachekesha, yaani Magufuli kaacha miradi inaendelea vizuri, SGR ilikuwa izinduliwe tangia mwaka jana, Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangia mwaka jana,Ndiyo,mazuri yao ni rejea nzuri ila maovu ya wafu tunawezaje kuyaishi?Huyo mnayemsifia na kumtetea hawezi kuwa mfano wa kuigwa maana alikuwa mkatili na mharibifu.Lipo wapi bwawa la umeme la Nyerere?Limejazwa maji?SGR ya Dar-Morogoro imesafirishwa mizigo/abiria wangapi?Mkiambiwa alikuwa anatekeleza White Elephant Projects mna kasirika.
Acheni kuabudu waliokwishafariki,waachwe walale nasi tusonge mbele tukiwa na malengo.Hatuwezi kulazimika kufuata au kuyaishi matamanio ya waliopita.
Kiongozi kama kupigwa tulishapigwa na huu uongozi kama serikali imeshaishiwa mbinu ya kukusanya mapato sasa wafanye nini ili mambo yaende? Option waliyonayo ni kukopa, acha tukope tu ili baadae tukichuliwa bandari ya Dar pamoja JNIA tutakaa sawa.Hakuna ubaya sisi kuwa tegemezi bila aibu?