Sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Rais Samia

Kasema"tulixho

Kasema "tulichokozana na umoja wa ulaya miradi ikakwama".

Sasa wapi kamtaja shetani JPM?ametumia Wingi,kuonyesha ilikuwa ni "corrective responsibility" ya Serikali nzima,hakuna Sehemu JPM katupiwa zigo.

Tatizo wafuasi wa JPM Bado mnaisi mpo ndotoni,mnawaza JPM anaweza kutokea wakati wowote,hamuamini zama zake zimepita.
Kwa akili yako angesema Magufuli alichokoza? Hujui siasa wala hujui kauli za wanasiasa.?
 
Ukiwaambia hii haifai wataitikia na kushangilia, kesho mwingine anakuambia inafaa wanashangilia tena, hiki ni chama kweli? Tunapata wapi confidence ya kuwakejeli vyama vingine kama chama chetu kipo hivi?
Huwa ni watu tofauti Mkuu ila wamekusanyika pamoja

Ukisema hili halifai wengine wanashangilia na wengine mlemle hawashangilii wanakuwa akiba ya kushangilia siku nyingine mkisema linafaa
 
Unampangia Rais atawale kama unavyotaka kuna wafuasi wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa,Kikwete, hawa wote muda wao umepita sasa hivi ni muda wa Rais Samia na yeyye muda wake utapita Rais hayupo kufurahisha wafuasi wa mtu.
Samia anatakiwa kutekeleza yale JPM na Samia waliyoahidi na kuaminiwa na wananchi kutekeleza mwaka 2020.

Kumbuka JPM kwa sera zake za kizalendo ndio kilisababisha CCM kushinda kwa kishindo kikubwa zaidi tangu vyama vingi kuanza

Samia hawezi kuchepuka kutoka kwenye hizi sera, ni usaliti mkubwa sio kwa JPM tu bali kwa wananchi waliopiga kura wakiamini ni sera fulani ndio waliyoipigia kura....
 
Za kuua watu na uonevu!?

Kama unachukua fikra na falsafa za mgonjwa wa akili....ni tatizo sana.
Hivi kuna kiongozi muonevu kama Samia? Samia kambikiza Mbowe kesi ya ugaidi kisa kasema katiba mpya? Samia kamfukuza Ndugai kwenye uspika kisa kasema tutegemee fedha za ndani na sio mikopo?
Samia huyu aliyefukuza wafanyabishara wadogo waliokua huru chini ya JPM?
 
Tanzania ni Nchi kubwa sana ina mikoa zaidi ya 30 na ina maajabu mbali mbali kijana mwenzangu tafuta pesa utembelee maajabu yake mazuri naya kupendeza

Siasa za CCm na Chadema izo ni taasisi zipo zitakuepo na zitaendelea kuepo ila ww ni binaadamu utakufa na mda wako wa kuishi dunian ni limit enjoy life
 
Samia anatakiwa kutekeleza yale JPM na Samia waliyoahidi na kuaminiwa na wananchi kutekeleza mwaka 2020.

Kumbuka JPM kwa sera zake za kizalendo ndio kilisababisha CCM kushinda kwa kishindo kikubwa zaidi tangu vyama vingi kuanza
....

Hivi kulikuwa na uchaguzi huru na wa haki? Sijui kama zimetimia kichwani mwako.
 
Huna akili wee umeumizwa na mama yenu kusema ukweli kwamba uhusiano uliharibiwa? kwani hii inahitaji hata elimu ya cheti kujua? kuna watu ni wajinga sana ndio maana kuongoza nchi hizi za kiafrika ni rahisi sana . maana kama thinking zenyewe ndio hizi. balaa sana
 
Hivi mkuu watu wanavyoenzi fikra za akina Mandela, Mao, Nyerere, Martin Luther King Jr, hawa ni wanaabudu wafu?
Ndiyo,mazuri yao ni rejea nzuri ila maovu ya wafu tunawezaje kuyaishi?Huyo mnayemsifia na kumtetea hawezi kuwa mfano wa kuigwa maana alikuwa mkatili na mharibifu.Lipo wapi bwawa la umeme la Nyerere?Limejazwa maji?SGR ya Dar-Morogoro imesafirishwa mizigo/abiria wangapi?Mkiambiwa alikuwa anatekeleza White Elephant Projects mna kasirika.
Acheni kuabudu waliokwishafariki,waachwe walale nasi tusonge mbele tukiwa na malengo.Hatuwezi kulazimika kufuata au kuyaishi matamanio ya waliopita.
 
Kila zama na kitabu chake!

Ccm ni chama kikubwa chenye mkusanyiko chanya wa fikra.

Tofauti na Chadema ambayo bila Freeman Mbowe hakuna chama.
John the Baptist kama baptist. Hizo ndizo rangi zako halisi maana siku nyingine unatoka kianaharakati zaidi haa haaaaa
 
Sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura.

Tunauliza where is our pride? Maneno haya ni kinyume kabisa na kujiamini alipotupa Magufuli na Kabudi...na wana CCM wengi walivyo wanafiki wanampigia makofi kama walivyopiga kwa Magufuli, ndiyo maana kuna wakati najiuliza CCM ni chama cha siasa au ni genge tu la watu wanaolindwa na mabunduki kujipa madaraka na kula kodi zetu?

Ni chama gani cha siasa kisichokuwa na itikadi? Ukiwaambia hii haifai wataitikia na kushangilia, kesho mwingine anakuambia inafaa wanashangilia tena, hiki ni chama kweli? Tunapata wapi confidence ya kuwakejeli vyama vingine kama chama chetu kipo hivi?

Rais Samia amesema haya, nanukuu

Lakini pia tumeweza kukwamua miradi iliyokuwa imekwama, kama mnavyojua katikati hapa tulichokozana kidogo na umoja wa Ulaya uhusiano ukatetereka miradi ikakwama, Lakini tumeshakwamua fedha mradi mmoja umeshatiliwa na mwingine utatiwa hivi punde, kazi zitaendelea.

Kuna fedha nyingi zimetengwa kwa ajili ya Afrika kama Euro Bilioni 150 ambazo hizo sasa ni kinyanganyiro kwa Afrika. Atakayewahi mwanzo kupeleka miradi ya maana ndiye atakayepata fungu kubwa, kwa hiyo nasi tunajitayarisha tumeanza kupeleka...

View attachment 2125025
Soma :"Tulichokozana",kwa maana na yeye alikuwemo,hajataja mtu mmoja.Yeye pia kajitaja katika huko kuchokozana.
 
Acha wafu wazikane, lazima tushughulike na na walio hai na sio wafu!! Acha Rais atakapofikia atakuja mwingine aendelee.
 
Hivi mkuu umemsikia Samia kuhusu mambo ya Sekta binafsi kuingizwa kwenye miradi ya Serikali?

JPM hili alilikataa kata kata, hawaaminiki hawa
Ila Samia kasema kuna wafanyabishara kutoka Ulaya ambao watakuwa wakitoa hela zao kwenye miradi ambayo hugharimikiwa na Serikali,
Yaani huoni tofauti ya Samia na Magufuli kweli? Hata la kuruhusu wanafunzi wenye mimba, chanjo, kwa shinikizo la mabeberu?
Sijasikia kwa masikio yangu huyo Samia kasema nini lakini kama amezungumzia masuala ya PPP... yaani Public Private Partnership basi ni kiongozi wa ajabu tu ndie anaweza kukataa PPP katika dunia ya leo!!

The problem watu mlimwamini sana JPM na matokeo yake mkaaminishwa kila anachokisema yeye ni sahihi! Lakini kubwa zaidi, aliyokuwa anawaambia wananchi ni tofauti na ukweli uliokuwa unaendelea serikalini!!

Kwa mfano, chukua mabadiliko haya ya kisheria:-

PPP1.png

Ilikuwa ni serikali ya nani hiyo iliyopeleka muswada bungeni kuhusu PPP?!

Na hapo unaambiwa, an Act TO AMEND...

Baada ya hiyo amendment, mwaka 2020 ikatengenezwa regulation:-
PPP2.png

Kwenye hizo kanuni husika sio tu zimeelezea Solicited Proposals bali hadi UNSOLICITED PROPOSALS! And what's Unsolicited Proposal?

Regulation husika inafafanua kwamba:-
Unsolicited proposal means a written proposal that is submitted to a relevant contracting authority on the initiative of a private party for the purpose of entering into a public private partnership agreement with the public sector;
Kumbe basi, wala sio hadi mradi uwe initiated na serikali! Hata wewe ukiona fursa mahali, unaweza kuandika proposal na kuipeleka serikalini ili hatimae mtekeleze project husika under PPP.

Sasa how come tena unadai JPM alikataa PPP wakati huo huo serikali ilikua inaanda kanuni kuhusu PPP?

BONUS TRACK
PPP.png
 
Sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura.

Tunauliza where is our pride? Maneno haya ni kinyume kabisa na kujiamini alipotupa Magufuli na Kabudi...na wana CCM wengi walivyo wanafiki wanampigia makofi kama walivyopiga kwa Magufuli, ndiyo maana kuna wakati najiuliza CCM ni chama cha siasa au ni genge tu la watu wanaolindwa na mabunduki kujipa madaraka na kula kodi zetu?

Ni chama gani cha siasa kisichokuwa na itikadi? Ukiwaambia hii haifai wataitikia na kushangilia, kesho mwingine anakuambia inafaa wanashangilia tena, hiki ni chama kweli? Tunapata wapi confidence ya kuwakejeli vyama vingine kama chama chetu kipo hivi?

Rais Samia amesema haya, nanukuu

Lakini pia tumeweza kukwamua miradi iliyokuwa imekwama, kama mnavyojua katikati hapa tulichokozana kidogo na umoja wa Ulaya uhusiano ukatetereka miradi ikakwama, Lakini tumeshakwamua fedha mradi mmoja umeshatiliwa na mwingine utatiwa hivi punde, kazi zitaendelea.

Kuna fedha nyingi zimetengwa kwa ajili ya Afrika kama Euro Bilioni 150 ambazo hizo sasa ni kinyanganyiro kwa Afrika. Atakayewahi mwanzo kupeleka miradi ya maana ndiye atakayepata fungu kubwa, kwa hiyo nasi tunajitayarisha tumeanza kupeleka...

View attachment 2125025

Mama aupiga mwingi sana,,,na hapo ndipo ulipojiharibia mleta mada kuileta hii taarifa, mama ameongea sahihi.
 
Mwendazake alijifanya hapendi mabeberu lakin hela zao anazipenda..kama mdangaji tu
 
Ndiyo,mazuri yao ni rejea nzuri ila maovu ya wafu tunawezaje kuyaishi?Huyo mnayemsifia na kumtetea hawezi kuwa mfano wa kuigwa maana alikuwa mkatili na mharibifu.Lipo wapi bwawa la umeme la Nyerere?Limejazwa maji?SGR ya Dar-Morogoro imesafirishwa mizigo/abiria wangapi?Mkiambiwa alikuwa anatekeleza White Elephant Projects mna kasirika.
Acheni kuabudu waliokwishafariki,waachwe walale nasi tusonge mbele tukiwa na malengo.Hatuwezi kulazimika kufuata au kuyaishi matamanio ya waliopita.
Mkuu unachekesha, yaani Magufuli kaacha miradi inaendelea vizuri, SGR ilikuwa izinduliwe tangia mwaka jana, Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangia mwaka jana,

kaingia Samia kavuruga serikali, kavuruga makatibu wakuu, kavuruga mawaziri kaweka watu wake miradi imekwama lawama anatupiwa Magufuli??
Wakati wa JPM ulisikia mgao wa umeme? Ulisikia mgao wa maji? Uliona vitu vikipabda bei namna hii?

Mbona watu mnakuwa vipofu hata kwenye mambo ya wazi kabisa?
 
Hakuna ubaya sisi kuwa tegemezi bila aibu?
Kiongozi kama kupigwa tulishapigwa na huu uongozi kama serikali imeshaishiwa mbinu ya kukusanya mapato sasa wafanye nini ili mambo yaende? Option waliyonayo ni kukopa, acha tukope tu ili baadae tukichuliwa bandari ya Dar pamoja JNIA tutakaa sawa.
 
Back
Top Bottom