Sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Rais Samia

Hongera Chige, umejipanga kweli kweli kupangua hoja kitaalamu kabisa!
 


Kwanini asiweke wa2 wake? Kila rais anakuja na watu wake bwana, acheni kumpangia mama la mamamama,,,,


Magufuli kuna mambo alifanya mazuri ikiwa SGR , Daraja la busisi, barabara na taa za barabani n.k. lakini kuna mambo mengine kaharibu, hela mtaani imekuwa ngumu, baadhi ya migodi amewafungia na husababisha maelfu ya wa2 hupoteza ajira,,hubambikia wa2 kesi za uhujumu uchumi na kutaifisha mali za watu/majumba
 
Yupo sawa kabisa sema chuki tu. Na anapozidi kubukua ndio mnateseka zaidi mzee baba. Kuweni wapole, wawekezaji wanamiminika nchi itakuwa kiuchumi na maendeleo,, itakuwa kama Emirates
Usawa upi nimeuliza? Nchi imerudi kuwa omba omba huku miradi mingi aliyoiacha Magufuli ikikwama ndio sawa hivyo?
 
Hii ni serikali ya Magufuli, wananchi walizipenda sera za Magufuli na kumpigia kura pamoja na CCM kwa kishindo
Yeye anatoa watu wa Magufuli na kuweka watu wake ambao wamekuja kuharibu kazi nzuri ya Magufuli, mgao wa umeme umerudi, mgao wa maji, vitu bei juu, tumerudi kutembeza bakuli ulaya.!
 
Ndio ilivyo hata akija Rais mwingine anamponda huyu huyu alimtangulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi waambia Mama ni empty city, hamkuamini, anawaambia pesa zimetengwa ili Waafrica wagombanie atakae wahi achukue nyingi ni aibu kubwa sana,. Yaani Rais Yuko proud kugombania pesa za misaada duh hatari kweli, hivi sera yetu ya kilimo na viwanda iko wapi? , Yaani miaka 60 ya Uhuru hatuwezi hata kusimamia hata miradi midogo kwa pesa zetu za ndani? , Yaani Rais ni zero brain na Hana concept yeyote kuhusu uzalishaji wa nchi yake na kuinua pato LA taifa, kweli hili ni goal, elimu mbovu ndo inatuletea viongozi kama hawa.
 
hivi wafuasi huwa mnanufaika na nini
 
wewe siyo mwanasisiemu usidanganye watu. life Core ya mwanasisiemu ye yote ni unafiki. Ukiona kundi la watu limejaa unafiki ujue hao ni sisiemu. Kama hakuna unafiki hao si sisiemu.
 
Na muumizwe mpaka mufe tuwazike kama tulivyomzika mungu wenu wa Chato mliyekuwa mnamuabudu. Nchi yetu haiwezi kuishi kama kisiwa, tunahitaji mahusiano ya kimataifa na kiuchumi.

Nyie mlitawaliwa na mtu mwongo, anawadanganya kutwa kuwa anajenga miradi kwa hela za ndani kumbe anakopa. Na wajinga mukamuamini
 

Nchi bila wawekezaji haiendelei
 
Hakusema miradi yote tunajenga kwa fedha za ndani, na ambayo tulikuwa tunakopa alisema
Tanzania kwani haikuwa uhusiano na mataifa mengine kipindi cha Magufuli? Kuna ubalozi ulifungwa Tanzania kisa Magufuli?
 
zimmerman nenda kamuone daktari wa akili. Yaani ndugu zako wamekufa hujalia, ila DIKTETA wa Chato alipokuga umetoa machozi. Hasara kubwa, jitu lilitaka kuharibu uchumi wetu ufanane na Zimbabwe ndiyo unalililia? Lisa linawajaza propaganda za uwongo
 
Inasikitisha sana mkuu
 
acknowledge uendelee na maisha ukiwa ridig sana utaachwa poti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…