Sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Rais Samia

Sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Rais Samia

Mtu alishakufa mnajifanya wafuasi wake kwa hiyo mnaongozwa na mzimu? Nyerere mwenyewe alipokufa aliibuka Kikwete akajiita JK watu wakaaminishwa eti alikuwa mwanafunzi wa Nyerere na mfuasi wa Nyerere Ila alichokuja kufanya anajua mwenyewe.

Same as nyie mnaojifanya wafuasi wa mfu, Magufuli is dead so as his doings, beliefs and legacies.

It's high time for you to come back to your senses and get used to the new system coz things will never be the same again.

[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Punguzeni upumbavu sasa samia anafanya vizuri wezi wakubwa na wanaotuongoza na kutengeneza sheria mbovu kuingia mikataba mibovu ni zao la nyerere msisahau hilo nyerere alikosea sana kutoa elimu kwa wachache iliaweze kuwazibiti kwa umri wangu Mimi nimefatilia ya kwenye vitabu nje yavitabu niyasikiayo na kauchunguzi kangu nimegundua hilo mfano hivi mwalimu akugundua kuwa katiba hii inampa rais mambo makubwa hivi kwanini aliikubali na alipotaka kuondoka aliiguna hatuoni hapo badotukaa kumsifu mtuambae ametuachia matatizo makubwa lakini kama kumsifu mtu au kiongozi yoyote ambae ameleta sintofaham ndio kunatuletea amani basi nashauri tuwe hivyo amani samani yake inazidi chochote tunachokitaka ila tusipende kuangalia tulipo anguka ilatuangalie tulopo jikwaaa

Mimi naongelea ccm kama chama, wewe unaongelea habari za katiba!
 
Siku zote ukibebwa mgongoni, ni ngumu sana kuujua umbali wa hio safari..

Mama anataka kuendekeza misaada,,, na sio kufanya Misaada kama sehemu ya kutu boost tunapokwama...

Acha tumpe Muda.
 
Siku zote ukibebwa mgongoni, ni ngumu sana kuujua umbali wa hio safari..

Mama anataka kuendekeza misaada,,, na sio kufanya Misaada kama sehemu ya kutu boost tunapokwama...

Acha tumpe Muda.
HAPASWI KUPEWA MUDA, UWEZO WAKE NI MDOGO MNO
 
Back
Top Bottom