October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Nye Nye wala msibabaishwe na masheikh ubwabwa hao. Twawajua na uroho na ulafi wao. Wakikusemeni nyamazeni. Wala hatukuwatuma. Uislamu hautaki haramu. Siye tupo kuipigania khaki hadi dahari. Inshallah mwenyezi Mungu atatupa kheri kwenye hili. Nye mwaona madevu mwaita sheikhe au mwaona kilemba mwaita imamu. Nye Nye hayo mavazi nyee. Uislamu dini ya khaki. Waislamu wote tupo pamoja na wapiganaji wa khaki. Hao makafiri yaliyovaa vilemba na kufuga midevu yasituondoe kwenye reli. 9D tutapanda ngazi ya pili. Na bado.