Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
Hata sijui unazungumzia nini!Nijuavyo mimi mambo ya albino yaliisha enzi za kikweteMwaka huu madili yako uliyoyazoea ya kuuza viungo vya albino, hayapo tena. Magu kaweka kufuli. Hivyo endeleeni kulia na kusaga meno, huku watu wa Mungu albino wakishangilia na kutabasamu.
Sahau kuhusu albino uchaguzi huu, maana mlikuwa mnakiita kipindi hiki eti cha mavuno.
Hata sijui unazungumzia nini!Nijuavyo mimi mambo ya albino yaliisha enzi za kikwete
Unajua kusoma?Unaelewa tofauti kati ya kusifia na fact?Mtu akisema kuwa mambo ya albino yaliisha enzi za kikwete hiyo ni kusifia au ni fact?mbona bado jk atasifiwa mpaka kwa ununuzi wa ndege[emoji38][emoji38][emoji38]
Hata sijui unazungumzia nini!Nijuavyo mimi mambo ya albino yaliisha enzi za kikwete
Natamani ningeelewa ulichoandika!Anyway, ila haya yote ni matunda ya CCM.Unaongea vitu ambavyo hata sijui ni nini!Ni kama naangalia movie kwenye ndoto ambayo siielewi hivi.Unajaribu kuzungumzia kitu gani?Stori za albino mbona ni za zamani sana?Kwa heri mkuuSisi hatujui yaliisha lini, ila ninachokumbuka mlimsababishia mpaka Waziri mkuu wa enzi hizo kulia bungeni kwa jinsi mlivyokuwa mnatisha. Kila leo tulikuwa tunawasikia vitu vyenu. Mpaka siku moja nilivyokuwa kwenye subway ubeberuni, nilifikiria kuikana nchi yangu kwa jinsi mlivyokuwa mnatia aibu kwa kuwakata albino mikono na kuua. Niliona beberu mmoja akisoma gazeti lenye ukurasa wa mbele umebeba aibu yenu, picha ya albino aliyekatwa mikono.
Unajua kusoma?Unaelewa tofauti kati ya kusifia na fact?Mtu akisema kuwa mambo ya albino yaliisha enzi za kikwete hiyo ni kusifia au ni fact?
Natamani ningeelewa ulichoandika!Anyway, ila haya yote ni matunda ya CCM.Unaongea vitu ambavyo hata sijui ni nini!Ni kama naangalia movie kwenye ndoto ambayo siielewi hivi.Unajaribu kuzungumzia kitu gani?Stori za albino mbona ni za zamani sana?Kwa heri mkuu
Wewe ni MATAGA mpumbavu kuliko MATAGA wote!Inawezekanaje unazungumzia leo hii mambo yaliyokuwepo zamani enzi za Kikwete na yakamalizwa enzi hizo?Sijawahi kukutana na mtu mpumbavu kama wewe hapa JF!Yaani unazungumzia leo mambo ambayo kila mtu alishasahau?!Kwa hoyo kutoelewa kwako ndiyo matunda ya ccm, what a post hoc fallacy!!!! Acha kujitoa ufahamu na kujifanya hujui, wewe si ulijibu pale kuwa masuala ya albino yaliisha kipindi cha Kikwete. Au umesahau.
[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Mna machungu na jpm kwa sababu kawapiga pin kwenye ile biashara yenu ya albino organs smuggler.
Hiyo kiswahili yako inasema wewe ni ngombe tu ya Kawaida.Sisi tupo Wakenya ni masikini sana nashangaa sana Wakenya wezangu humu wako wanajisifia tajiri kumbe hamuna kitu.
Kwenye fact acha tuseme kweli toka ashike power Magufuli naona TANZANIA iko mbele yetu na soon itatuacha mbali.
I wish Kenya tuko na Magufuli.
All de best Tanzania na leaders zenu, Wako wanaongoza nchi wenyewe for their benefit of de nation.
Huku kwetu Kenya tunazid kuwa watumwa wa white people, roho iko inaniuma sema siko na jinsi.
I LOVE KENYA
Wewe ni MATAGA mpumbavu kuliko MATAGA wote!Inawezekanaje unazungumzia leo hii mambo yaliyokuwepo zamani enzi za Kikwete na yakamalizwa enzi hizo?Sijawahi kukutana na mtu mpumbavu kama wewe hapa JF!Yaani unazungumzia leo mambo ambayo kila mtu alishasahau?!